Tabora: Alfred Masamalo, Diwani wa kata ya Usunga Wilayani Sikonge, auawa kwa Mapanga

Tabora: Alfred Masamalo, Diwani wa kata ya Usunga Wilayani Sikonge, auawa kwa Mapanga

Juzi Katibu mkuu wao alisimama anazungumza namna wanavyoweza kutumia dola kubaki madarakani wanasahau hata hao maaskari ni binadamu tu watu wakiamua wanadili nao vizuri tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
johnthebaptist, Poleni sana kwa msiba mzito wa diwani wana Tabora. Ni vyema utulivu ukatawala wakati polisi wanakamilisha uchunguzi wao.

Lakini pia ninaomba wenye vyama ccm pamoja na upinzani hususan chadema najua dhahiri ccm wamekuwa wakipanga mauaji ya wapinzani wasioingilika kiuhalisi kamwe hili hawawezi kwepa lakini kamwe msihusike kabisa kwa sasa kurudisha kisasi bado wapeni muda wa kuyatafakari hayo yanayowafurahisha kama yanafaa.

Juzi lema alipoonesha idadi ya waliouwawa singida walimkamata wakilenga kuufunika uovu wanaofanyiwa chadema lakini wao hata mmoja akidhulika watu hawalali. Hii ni double standard kubwa sana.

Ila naamini wanatabora wapo humu ni vyema wakatu brief ni nini hasa ni sababu ya mauti hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu angesaidiwaje ilihali hakutaka kutoa ushirikiano kwa polisi? Au unadhani polisi wanapiga ramri. Wamarekani na wakanada watamsaidia

Sent using Jamii Forums mobile app

Marehemu,

msako mkali na watuhumiwa 6 wanashikiliwa.

Majeruhi wa risasi ( nusu mfu) akipona arudi atoe ushirikiano ili uchunguzi kubaini waliomshambulia uanze.

INAFIKIRISHA SANA.

NANI MHUSIKA MKUU.
 
Lakin pia kama angekuwa wa CHADEMA tungesema amechakatwa mapanga na CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, swala hapa sio ccm wala cdm. Vyombo vya usalama hasa polisi (usalama wa raia) vinapaswa kuhakikisha vinalinda na kusimamia usalama na uhai wa raia wote wa nchi hii bila kuwabagua na bila kuingiliwa na wanasiasa.

Sasa ukiangalia kwa macho ya kawaida tu unaona kabisa ni jinsi gani wapinzani wananyanyaswa na kuuliwa ama kupotezwa, halafu polisi hawachukui hatua yoyote na hata wakiulizwa wanajibu ngonjera tu.

Mlolongo wa matukio hayo ni mengi tu, kama ww ni mtz, unafahamu kwa undani.
Tukio la karibuni kabisa ni lile katibu wa cdm Singida, halafu police wanasema ni bodaboda! Kwani bodaboda hana haki ya kuishi?

Mimi nasema; kama kweli kuuawa kwa diwani huyo wa ccm, ni hatua nzuri na kasi inatakiwa kuongezeka, iwaguse pia polisi ili twende sawa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi umetisha sana boss mwendo uwe huohuo tu..wakomeshane juzi Katibu mkuu wao anasimama anazungumza namna wanavyoweza kutumia dola kubaki madarakan wanasahau hata hao maaskar ni binadamu tu watu wakiamua wanadili nao vizuri tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeonaee! Shenzi sana hawa jamaa.

Kama vipi askari walioko kwenye msako, wasirudi wote, angalau hata wawili wasirudi kabisa, ili nawao waskie utamu wake.
Tabora wamenifurahisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu angesaidiwaje ilihali hakutaka kutoa ushirikiano kwa polisi? Au unadhani polisi wanapiga ramri. Wamarekani na wakanada watamsaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie rc usubiri diwani wa ccm afufuke ili aje atoe ushirikiano ndipo msako uanze.
Anafanyaje uchunguzi marehemu hajarudi toka kuzimu alikoenda kutalii?
Ikibidi m/kiti wa halmashauri (ndugy)
amfute udiwani kwa kuwa hajui aliko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeshi la polisi halina taarifa kama alikuwa diwani wa CCM.
 
Back
Top Bottom