Tabora: Alfred Masamalo, Diwani wa kata ya Usunga Wilayani Sikonge, auawa kwa Mapanga

Tabora: Alfred Masamalo, Diwani wa kata ya Usunga Wilayani Sikonge, auawa kwa Mapanga

Inasikitisha sana kuona wingu la chuki na visasi likitanda, mvua yake itakuwa ni damu zisizo na hatia. Mungu epushia mbali.
Lakini hebu tuangalie upande wa pili wamelalamika sana lakini hakuna kilicho kuwa kinaendelea chuki IPO juu sana tunao uswahili ndio tunayaona haya lakini kama huponi kwenye kiyoyozi taarifa unaletewa tu huwezi jua ila mungu atusaidie tu kuyaepuka haya R.I.P diwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu angesaidiwaje ilihali hakutaka kutoa ushirikiano kwa polisi? Au unadhani polisi wanapiga ramri. Wamarekani na wakanada watamsaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo huyo marehemu Diwani wa CCM (RIP) amewapa ushirikiano Polisi. Kuna watu na wajinga kweli.

Hivi mtu mwenye akili anaweza kutamka haya? Lisu alikuwa mahututi. Hao wajinga wa kusema walitaka Lisu awape ushirikiano, ni ushirikiano gani angewapa? Wanaouawa, mizmu yao huwa inaenda kuwapa ushurikiano Polisi ili wafanye uchunguzi?

Maelezo ya Polisi yalikuwa ya kijinga. Mbaya zaidi na wengine wanaendelea kurudia utetezi ule wa kijinga uliotolewa.
 
Lisu angesaidiwaje ilihali hakutaka kutoa ushirikiano kwa polisi? Au unadhani polisi wanapiga ramri. Wamarekani na wakanada watamsaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo marehemu diwani katoa ushirikiano gani kwa polisi

Naomba utoe elimu hiyo ili marehemu wengine watarajiwa siku wakiuwawa watoe ushirikiano kwa Polisi

Uso umeumbwa na haya hebu oneni aibu basi hata kidogo japo kwa kukaa kimya sio lazima kujibu hoja zisizo jibika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom