KERO Tabora: Changamoto ya stakiki kwa watumishi wapya Hospitali ya Kitete

KERO Tabora: Changamoto ya stakiki kwa watumishi wapya Hospitali ya Kitete

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Sisi Ajira mpya bado tunadai stahiki yetu ya hela ya kujikimu, pia tumekuta watumishi wanalalamikia hali ya kutopewa stahiki zao kwa wakati, stahiki hizo ni pamoja na Call, Extra & Refferal allowarence hali hii imekuwa ikididimiza utendaji kazi wa watumishi na motisha ya kazi.

Tunahitaji stahiki zetu zilipwe kwa wakati.
 
je malipo yenu ni ya mkuu fulani asaini ndio nyie mlipwe au ni moja kwa moja wizarani ?
 
Hapo Mtalipwa tu ila mtachelewa changamoto kubwa sana RRH nyingi kuanzia mwezi wa 11 walivyoanza kupokea ajira mpya hadi sasa wamekuwa wakija wengi sana RRH wanakuja hadi watu 70 hasa ile awamu ya kwanza na Hazina ndio hivyo hawalet pesa kwa wakat au wakileta ni pungufu na ukumbuke hizo pesa za kujikimu ni mapata ya ndani ya Hospitali

Badhi ya RRH naona wanalipwa kwa awamu yaan mnashikiswa laki4 baada ya muda mnapewa laki 5 hadi zinaisha

Huko mtalipwa tu japo mtachelewa ila ungekuwa Halmashauri kungekuwa na 60% za kutokulipwa kabisa
 
Back
Top Bottom