johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kama Hawa uliowataja ndiyo wanasiasa nguli na maarufu huko Tabora, Basi CCM Tabora kuna ukame wa watu.wanasiasa nguli, wabobezi na maarufu sana hapo Tabora muiponye CCM.
Hahahaaaa...... Nyie mnaye Magdalena Sakaya!Kama Hawa uliowataja ndiyo wanasiasa nguli na maarufu huko Tabora, Basi CCM Tanora kuna ukame wa watu.
Aise kweli watu mmeishiwa hojaNichukue fursa hii kuwaomba tena sana wanasiasa nguli, wabobezi na maarufu sana hapo Tabora muiponye CCM.
Niwataje kwa uchache Dr Kigwangalla, Salum Happi, Ismail Aden Rage, Athuman Mfutakamba, Prof Kapuya, Maulid Kitenge, Hussein Bashe, Fundikira, Ntimizi nk....nk.
Tabora ndio chimbuko la siasa za Tanzania!
Maendeleo hayana vyama!
Tabora imesheheni wanasiasa ikifuatiwa na Kilimanjaro!Kina Lipumba, Kina mama Sitta,
Kina Lipumba, Kina mama Sitta,
Tabora imesheheni wanasiasa ikifuatiwa na Kilimanjaro!
Asiye tapeli ni Nani?Matapeli wa siasa hao.
Asiye tapeli ni Nani?
Kwani hiyo Ccm ikifa utapungukiwa nini? Badala ya kulipigania Taifa lako, wewe unalia Ccm kufa!!Nichukue fursa hii kuwaomba tena sana wanasiasa nguli, wabobezi na maarufu sana hapo Tabora muiponye CCM.
Niwataje kwa uchache Dr Kigwangalla, Salum Happi, Ismail Aden Rage, Athuman Mfutakamba, Prof Kapuya, Maulid Kitenge, Hussein Bashe, Fundikira, Ntimizi nk....nk.
Tabora ndio chimbuko la siasa za Tanzania!
Maendeleo hayana vyama!
Kwahiyo ajenda yenu kubwa ni CCM! Kundi la watoto wa shule wezi na wabakaji si tatizo kwenu! Kama ni hivyo basi hao watoto ni wenu na mnawalinda.Nichukue fursa hii kuwaomba tena sana wanasiasa nguli, wabobezi na maarufu sana hapo Tabora muiponye CCM.
Niwataje kwa uchache Dr Kigwangalla, Salum Happi, Ismail Aden Rage, Athuman Mfutakamba, Prof Kapuya, Maulid Kitenge, Hussein Bashe, Fundikira, Ntimizi nk....nk.
Tabora ndio chimbuko la siasa za Tanzania!
Maendeleo hayana vyama!
Mama sitta ni wa Songwe sio wa tabora huko aliolewa tuKina Lipumba, Kina mama Sitta,
Ni mzaliwa wa tabora Nzega ,Baba yake Mzee salum Happi alikuwa ni mwasi wa huko Kolo kondoaHappi wa Singida
CHANZO CHA MATATIZO kinahemea mashine TaboraNichukue fursa hii kuwaomba tena sana wanasiasa nguli, wabobezi na maarufu sana hapo Tabora muiponye CCM.
Niwataje kwa uchache Dr Kigwangalla, Salum Happi, Ismail Aden Rage, Athuman Mfutakamba, Prof Kapuya, Maulid Kitenge, Hussein Bashe, Fundikira, Ntimizi nk....nk.
Tabora ndio chimbuko la siasa za Tanzania!
Maendeleo hayana vyama!
Kwani kumetokea nini Mkuu? Au maneno ya Jana ya Mwenyekiti unadhani ndo tiba? Mnyamwezi na Majungu ni damudamu kama Mjaluo na uji.Nichukue fursa hii kuwaomba tena sana wanasiasa nguli, wabobezi na maarufu sana hapo Tabora muiponye CCM.