Tabora: Dr Kigwangalla, Salum Happi, Ismail Rage, Prof Kapuya, mwanaspoti Maulidi Kitenge iponyeni CCM!

Nichukue fursa hii kuwaomba tena sana wanasiasa nguli, wabobezi na maarufu sana hapo Tabora muiponye CCM.

Niwataje kwa uchache Dr Kigwangalla, Salum Happi, Ismail Aden Rage, Athuman Mfutakamba, Prof Kapuya, Maulid Kitenge, Hussein Bashe, Fundikira, Ntimizi nk....nk.

Tabora ndio chimbuko la siasa za Tanzania!

Maendeleo hayana vyama!
CCM imekufa kabisa ni hizo nguvu za police, mahakama, TRA and the like
 
Nichukue fursa hii kuwaomba tena sana wanasiasa nguli, wabobezi na maarufu sana hapo Tabora muiponye CCM.

Niwataje kwa uchache Dr Kigwangalla, Salum Happi, Ismail Aden Rage, Athuman Mfutakamba, Prof Kapuya, Maulid Kitenge, Hussein Bashe, Fundikira, Ntimizi nk....nk.

Tabora ndio chimbuko la siasa za Tanzania!

Maendeleo hayana vyama!
CCM iponywe vipi wakati ilishinda Uchaguzi majimbo yote Tanzania?
 
Back
Top Bottom