Tabora: Dr Kigwangalla, Salum Happi, Ismail Rage, Prof Kapuya, mwanaspoti Maulidi Kitenge iponyeni CCM!

Mama sitta ni wa Songwe sio wa tabora huko aliolewa tu
Basi watu wa Tabora wana laana, hata Magdalena Sakaya ni Mchaga, Kaliuya ameolewa tu na akabeba na ubunge.

Huu mkoa laana siyo bure, maana hata Rage sehemu zenye watu wenye akili timamu wasingethubutu kumpa ubunge Msomali.
 
Jumapili leo, ndio madhara ya bia za offer hata nyama choma huli, unafakamia tu bila kujuwa tajiri ana sh ngapi mfukoni.
Wengine siyo wakatoliki bwashee!

Hawanywi pombe wala hawali kitimoto.....ni najisi!
 
Basi watu wa Tabora wana laana, hata Magdalena Sakaya ni Mchaga, Kaliuya ameolewa tu na akabeba na ubunge.

Huu mkoa laana siyo bure, maana hata Rage sehemu zenye watu wenye akili timamu wasingethubutu kumpa ubunge Msomali.
Mbona Sugu na mchungaji Msigwa ni wakinga lakini hawakuwa wabunge wa Makete?

Tanzania ni taifa moja bwashee!
 
Wengine siyo wakatoliki bwashee!

Hawanywi pombe wala hawali kitimoto.....ni najisi!
Hayo mambo hayana dini, waislamu wanakunywa pombe na wanakula kitimoto.

Walichofanya wakatoliki ni kujitenga na unafki, parokiani bia zinapatikana kama kawaida na kiti moto inaliwa vizuri tu.
 
Kuna Mkinga anaitwa Mbilinyi? msigwa ni jina la Kihehe.
Hakuna mhehe anaitwa Msigwa.

Msigwa utawapata Milima ya Uwanji anakotoka mchungaji Peter kadhalika wako Ubenani na kule Mlangali Ludewa.

Hao akina Mbilinyi ndio pure wakinga wa Bulongwa na mjini Makete.
 
Kama Hawa uliowataja ndiyo wanasiasa nguli na maarufu huko Tabora, Basi CCM Tabora kuna ukame wa watu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1]
 
Hakuna Mwanasiasa hapo wote Wadangaji wa Siasa
 
Huyu Maulidi naye ni Tabora? siyo mswahili wa Pwani?
 
Kumbe ni Kondoa moja, ndiyo maana hana ufahamu vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…