LGE2024 Tabora: Kada wa CCM ajiua baada ya Kada wa CHADEMA kushinda Uenyekiti wa Kitongoji

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kada wa Chama cha Mapinduzi aliyefahamika kwa jina la Justine Kiatu, anadaiwa kujiua baada ya mgombea wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Rajabu Lupanda kutangazwa mshindi wa nafasi ya uwenyekiti wa Kitongoji cha Ikomwa Mlimani mkoani Tabora, akimshinda Edward Petro wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mkuu wa mkoa huo, Paul Chacha ameeleza kuwa marehemu Kiatu alijiua kwa kunywa sumu ya kuulia wadudu aina ya Ruruka mara tu baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 mwaka huu.

Akizungumzi kifo hicho kwenye mkutano wa wakulima, Chacha ametoa wito kwa wananchi kuwa na uvumilivu wa kisiasa hususani nyakati za uchaguzi.
Tunasema "Kifo ni kifo tu"
 
Duniani Luna watu na viatu. Mungu ablaze roho ya marehemu maharaj panapostahili.
 
Kada wa Chama cha Mapinduzi aliyefahamika kwa jina la Justine Kiatu, anadaiwa kujiua baada ya mgombea wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Rajabu Lupanda kutangazwa mshindi wa nafasi ya uwenyekiti wa Kitongoji cha Ikomwa Mlimani mkoani Tabora, akimshinda Edward Petro wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mkuu wa mkoa huo, Paul Chacha ameeleza kuwa marehemu Kiatu alijiua kwa kunywa sumu ya kuulia wadudu aina ya Ruruka mara tu baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 mwaka huu.

Akizungumzi kifo hicho kwenye mkutano wa wakulima, Chacha ametoa wito kwa wananchi kuwa na uvumilivu wa kisiasa hususani nyakati za uchaguzi.
Laana ya wizi wa kura hiyo na watakufa wengi sana safari hii kutoka utosini hadi kwenye nyayo za miguu.
 
Kada wa Chama cha Mapinduzi aliyefahamika kwa jina la Justine Kiatu, anadaiwa kujiua baada ya mgombea wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Rajabu Lupanda kutangazwa mshindi wa nafasi ya uwenyekiti wa Kitongoji cha Ikomwa Mlimani mkoani Tabora, akimshinda Edward Petro wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Kesi inahamia kwa aliyetangaza mshindi
 
Kada wa Chama cha Mapinduzi aliyefahamika kwa jina la Justine Kiatu, anadaiwa kujiua baada ya mgombea wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Rajabu Lupanda kutangazwa mshindi wa nafasi ya uwenyekiti wa Kitongoji cha Ikomwa Mlimani mkoani Tabora, akimshinda Edward Petro wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mkuu wa mkoa huo, Paul Chacha ameeleza kuwa marehemu Kiatu alijiua kwa kunywa sumu ya kuulia wadudu aina ya Ruruka mara tu baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 mwaka huu.

Akizungumzi kifo hicho kwenye mkutano wa wakulima, Chacha ametoa wito kwa wananchi kuwa na uvumilivu wa kisiasa hususani nyakati za uchaguzi.
"Duniani Kuna watu na viatu " nyota ndogo

Ndugu Justine kiatu ni kiatu "kweri kweri" ( in magu voice(
 
Kada wa Chama cha Mapinduzi aliyefahamika kwa jina la Justine Kiatu, anadaiwa kujiua baada ya mgombea wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Rajabu Lupanda kutangazwa mshindi wa nafasi ya uwenyekiti wa Kitongoji cha Ikomwa Mlimani mkoani Tabora, akimshinda Edward Petro wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mkuu wa mkoa huo, Paul Chacha ameeleza kuwa marehemu Kiatu alijiua kwa kunywa sumu ya kuulia wadudu aina ya Ruruka mara tu baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 mwaka huu.

Akizungumzi kifo hicho kwenye mkutano wa wakulima, Chacha ametoa wito kwa wananchi kuwa na uvumilivu wa kisiasa hususani nyakati za uchaguzi.
Alikula pesa ya watu na akaambiwa wazi mgombea asiposhinda atakiona cha moto.. Akaona isiwe shida ngoja awarahisishie Kazi
 
Back
Top Bottom