Tabora: Mamalishe wamzuia Mbowe kwa muda, waomba kupiga naye picha ya Ukumbusho

Tabora: Mamalishe wamzuia Mbowe kwa muda, waomba kupiga naye picha ya Ukumbusho

Ungejikita kwenda kumwokoa Sabaya kipenzi chako. Kwa Mbowe unapoteza muda.
Yaani huyo jamaa amejua life span yake imefika yaani Malaika wa zamu wameshaanza kimpigia simu tujiandaeni taratibu tu tutaimba zile nyimbo za taraatibu ndio maana anasema 2023 huko mbali hafiki
 
Kufa ni wajibu lakini!! Sikutegemea kumuona kiumbe aliyejifanya na kuwafanya wapambe wake wamuamini kuwa na yeye ni mungu!! Ana ondoka kizembe vile!!!yeye alikuwa special sana!!, unakumbuka kauli ya Rc, mwanri? Zile zilikuwa dhihaka!!

Tatizo lenu ni moja tu! Bangi, Wewe kutokutoa kauli kama Rc mwanri hakukupi any immortality, death is death and wote tutaondoka! sasa kama ni hivo unatoa wap mdomo wa kumsema mtu ambae ametangulia tu ingali wewe unafuata uko uko?
 
Huh ni mwandiko wa Mbowe mtu mwenye akili timamu hawezi akakaa anapoteza muda kusifia takataka hii
 
Tatizo lenu ni moja tu! Bangi, Wewe kutokutoa kauli kama Rc mwanri hakukupi any immortality, death is death and wote tutaondoka! sasa kama ni hivo unatoa wap mdomo wa kumsema mtu ambae ametangulia tu ingali wewe unafuata uko uko?
Ngosha taratibu baba.
 
Mwenyekiti wa Chama.

kwani Chama Cha Magamba wenyewe wanasema je?
 
Maisha yaenda kasi sana ya Bombadia aisee ili hali Sabaya ananyea debe Kisongo Eti Mbowe yupo anazunguka nchi nzima kunadi CHADEMA.
kwa kweli dunia ni mzunguko, mweee!
 
Hii ndiyo Taarifa mpya kutoka Tabora , Kwamba Mwamba Mbowe akiwa katika harakati za Operesheni Haki huko Kanda ya Magharibi, amevamiwa na Kundi la Mama Lishe huku wakimtaka kupiga nao picha ya ukumbusho ndiyo aendelee na Operesheni zake, ambapo Mwamba alisalimu amri na kupiga picha na wamama hao huku kibwagizo cha #Mwamba Tuvushe kikitamba.

A pretty photo marked with superb looking faces. Bravo Chadema. Bravo Chairman Mbowe.
 
Kama una uwezo wa kudunduliza huwezi kuelewa
Kila rakheri makamanda, ccm tumeichoka na CDM nikama hawako serious wala hawaoneshi kua wako tayar kuongoza nchi. Japo nchi inahitaji mabadiliko kiukwel
 
Wengine wanahangaika kujenga chama na kutafuta vyanzo vya mapato katika mazingira magumu kweli kweli, wengine wameketi kitako wakisubiri kutoa tamko la kushiriki uchaguzi wowote ule utakaotangazwa na Tume.

Hongera Mh. Mbowe, huo ndiyo uongozi uliotukuka!! kujitoa kwa hali na mali kukifia chama !! hii ni thawabu kubwa sana kwako - kiongozi ukiwa hivyo wafuasi wako pia wanafuata nyayo - leo hii kina mama na vijana wanafyatua matofali nchi nzima kwa hiari yao wenyewe kujijengea ofisi zao za chama - bravo bravo !!
 
Tatizo lenu ni moja tu! Bangi, Wewe kutokutoa kauli kama Rc mwanri hakukupi any immortality, death is death and wote tutaondoka! sasa kama ni hivo unatoa wap mdomo wa kumsema mtu ambae ametangulia tu ingali wewe unafuata uko uko?
MUNGU FUNDI, Ndicho nichoweza kusema!kufunga mjadala huu
 
Hii ndiyo Taarifa mpya kutoka Tabora , Kwamba Mwamba Mbowe akiwa katika harakati za Operesheni Haki huko Kanda ya Magharibi, amevamiwa na Kundi la Mama Lishe huku wakimtaka kupiga nao picha ya ukumbusho ndiyo aendelee na Operesheni zake, ambapo Mwamba alisalimu amri na kupiga picha na wamama hao huku kibwagizo cha #Mwamba Tuvushe kikitamba.

Mungu ampe umri mrefu baba mwenye hekima na busara Tanzania, Africa na dunia
 
Back
Top Bottom