Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Yaani huyo jamaa amejua life span yake imefika yaani Malaika wa zamu wameshaanza kimpigia simu tujiandaeni taratibu tu tutaimba zile nyimbo za taraatibu ndio maana anasema 2023 huko mbali hafikiUngejikita kwenda kumwokoa Sabaya kipenzi chako. Kwa Mbowe unapoteza muda.
Kufa ni wajibu lakini!! Sikutegemea kumuona kiumbe aliyejifanya na kuwafanya wapambe wake wamuamini kuwa na yeye ni mungu!! Ana ondoka kizembe vile!!!yeye alikuwa special sana!!, unakumbuka kauli ya Rc, mwanri? Zile zilikuwa dhihaka!!
Ngosha taratibu baba.Tatizo lenu ni moja tu! Bangi, Wewe kutokutoa kauli kama Rc mwanri hakukupi any immortality, death is death and wote tutaondoka! sasa kama ni hivo unatoa wap mdomo wa kumsema mtu ambae ametangulia tu ingali wewe unafuata uko uko?
Sasa wewe unajiona una akili? Utazipata wapi wakati kizazi chenu chote ndio takataka.Huh ni mwandiko wa Mbowe mtu mwenye akili timamu hawezi akakaa anapoteza muda kusifia takataka hii
kwa kweli dunia ni mzunguko, mweee!Maisha yaenda kasi sana ya Bombadia aisee ili hali Sabaya ananyea debe Kisongo Eti Mbowe yupo anazunguka nchi nzima kunadi CHADEMA.
๐miaka nenda miaka rudi makamanda bado wanaomba kuvushwa na mwamba tu. Kwel hakuna kama mwamba#Mwamba Tuvushe
A pretty photo marked with superb looking faces. Bravo Chadema. Bravo Chairman Mbowe.Hii ndiyo Taarifa mpya kutoka Tabora , Kwamba Mwamba Mbowe akiwa katika harakati za Operesheni Haki huko Kanda ya Magharibi, amevamiwa na Kundi la Mama Lishe huku wakimtaka kupiga nao picha ya ukumbusho ndiyo aendelee na Operesheni zake, ambapo Mwamba alisalimu amri na kupiga picha na wamama hao huku kibwagizo cha #Mwamba Tuvushe kikitamba.
Kama una uwezo wa kudunduliza huwezi kuelewa๐miaka nenda miaka rudi makamanda bado wanaomba kuvushwa na mwamba tu. Kwel hakuna kama mwamba
Kila rakheri makamanda, ccm tumeichoka na CDM nikama hawako serious wala hawaoneshi kua wako tayar kuongoza nchi. Japo nchi inahitaji mabadiliko kiukwelKama una uwezo wa kudunduliza huwezi kuelewa
MUNGU FUNDI, Ndicho nichoweza kusema!kufunga mjadala huuTatizo lenu ni moja tu! Bangi, Wewe kutokutoa kauli kama Rc mwanri hakukupi any immortality, death is death and wote tutaondoka! sasa kama ni hivo unatoa wap mdomo wa kumsema mtu ambae ametangulia tu ingali wewe unafuata uko uko?
Mungu ampe umri mrefu baba mwenye hekima na busara Tanzania, Africa na duniaHii ndiyo Taarifa mpya kutoka Tabora , Kwamba Mwamba Mbowe akiwa katika harakati za Operesheni Haki huko Kanda ya Magharibi, amevamiwa na Kundi la Mama Lishe huku wakimtaka kupiga nao picha ya ukumbusho ndiyo aendelee na Operesheni zake, ambapo Mwamba alisalimu amri na kupiga picha na wamama hao huku kibwagizo cha #Mwamba Tuvushe kikitamba.
MUNGU FUNDI, Ndicho nichoweza kusema!kufunga mjadala huu
Hilo tapeli jambazi na jizi tulishalisahau linajihangaisha buree tu utapeli alioufqnya adhabu yake muda si mrefu tutaimbaa nyimbo za taratibu huku tukiwa tumevaa nguo nyeupe na nyeusi tukimsindikiza Mr konyagi I can't breathe zero brainexpand...
MUNGU FUNDI, Ndicho nichoweza kusema!kufunga mjadala huu