Uchaguzi 2020 Tabora: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Uchaguzi 2020 Tabora: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Tabora. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Tabora una jumla ya majimbo ya uchaguzi 12 ambayo ni:-


Tabora Mjini:
Emmanuel Mwakasa (CCM) - Kura 30,083

Igalula:
enant Protas (CCM)

Tabora Kaskazini-
Athumani Mahige

Sikonge -
Joseph George Kakunda (CCM) - Kura 44,258
Hijja Mohammed Chamballah(CHADEMA) - Kura 7,260

Urambo -
Margaret Sitta (CCM) - Kura 30,391

Kaliua:
Aloyce Kwezi (CCM) - Kura 35,065.


Ulyankulu -
REHEMA JUMA MIGILLA - Amepita bila kupingwa

Nzega Mjini -
Hussein Bashe (CCM) - Kura 16,082
Andrew Atonga (Chadema) - Kura 2,663

Bukene
Selemani Jumanne (CCM)

Nzega Vijijini
-
DKT. KIGWANGALA HAMISI ANDREA - Amepita bila kupingwa

Igunga:
Nocholaus Ngassa (CCM)

Manonga:
Seif Hamis (CCM)


ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.
 
Bado hatujapata mtu wa kutuhabarisha.
 
Jamaa acha usanii unaanzisha thread za matokeo mikoa mbalimbali lakini hakuna updates zozote.
 
Sasa si uweke hayo matokeo kama hauna unaanzisha thread za nini?
 
Jimbo la Ulyankuru CCM walifanya rafu huko kupita bila kupingwa ndo nini?
 
Back
Top Bottom