Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Makamu mwenyekiti wa Act Wazalendo Tanzania Bara Isihaka Mchinjia leo Novemba 27, 2024 ameshiriki katika zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, kwenye kituo cha Shule ya Msingi Likotwa, Manispaa ya lindi, Novemba 27, 2024.
Akizungumza baada ya kupiga kura amesema kwa Mkoa wa Lindi hakuna changamoto kubwa kwenye zoezi hilo huku akiwataka wananchi kuendelea kupiga kura katika uchaguzi huo unaofanyika nchi nzima kwani wananchi ndio wanaamua nani awe kiongozi.