Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

Ila wanaume siku hiziπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Ila wanawake siku hizi !!!
Tunajua hampendani ila isifike kwa kiwango hiki cha kutaka kuua mama na mtoto. Anyway nakuombea upate huduma ya nesi kama huyo zamu yako ikifika
 
Huyo jamaa alierekod na anaelalamika kuwa hawezi tumia hizo expired items anavomwambia huyo nurse yeye ndo incharge? Na kwnn amrekod?
Huyo ana personal interest tu na huyo sister kwsbb kuna taratbu za kuomba items zingine vitu huwa havitolew tolew tu kuna utaratbu wake.
 
Hatufanyi siasa hapa
Ingawa ni makosa ila sio namna kama nyie layman mnavoona huyo atajieleza tu kwa barua
Atafukuzwa kwenye magazeti kuua soo
Alafu atahamishwa kituo
Sheria za utumishi na za maadili zifuatwe ili kumfunza adabu huyu muhuni anayejiita muuguzi.

Kwanza hana hata nidhamu kwa wafanyakazi wenzio.

Anaonekana mwendawazimu tu. Atimuliwe au apewe funzo ambalo hatalisahau.

Lugha mbovu, kiburi na jeuri. Atiwe adabu.
 
Acha uzembe kazini wewe. Fanya kazi kwa weledi.

Waendelee kuwarekodi tu ili mtumbuliwe mkalime nyanya.

Tuna wataalamu wengi sana mtaani hawana ajira.
 
Mnaosema aliyevujisha kakosea sasa kakosea nini?hii ndio inasababisha watu wanaendelea kufa mahospitali kisa kuficha bila ya kurekodiwa huyu angeendelea kufanya hivi mpaka anastaafu hiyo hospitali.Aliyemrekodi yupo sahihi maana huyo dada inaonekana ndio tabia yake.Huyu dada inapaswa awajibishwe/apewe onyo
 
Wapi Nmemshambulia mbona una hasira sana mkuu
Weekend Leo Tuzuke viwanja uko pande zipi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa kama kuna huo utaratibu kwanini huyo nurse alazimishe vitumike asishauri njia sahihi. Na kwanini apanic na kumuongelea mwenzake shit anapoambiwa zisitumike zimeexpire? Unajua hizo changamoto huyo jamaa anakutana nazo mara ngapi hadi kaamua kumrekodi? Anyway nakuombea siku ukipata majanga upate huduma ya nurse kama huyo ili ujue kumrekodi ilikua sahihi kupunguza huo uozo unaotetea
 
Acha uzembe kazini wewe. Fanya kazi kwa weledi.

Waendelee kuwarekodi tu ili mtumbuliwe mkalime nyanya.

Tuna wataalamu wengi sana mtaani hawana ajira.
Hamna jamaa kanoko ako, saut yake tu ina sound kinoko noko
 
Wacha kuandika easy mi nshazeeka sa hivi kusoma siwezi hata

Mambo ya hospitali yanachosha sana nayajua in and out uozo uliopo serikalini na kwa watumishi naufahamu kwa kina nlipata amani ya Moyo nlpojua hamna kitu naweza badili

Tukalewe mkuu wachana na serikali πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tanzania kuna tatizo kubwa mno mtu anayesema kwamba aliyerekodi kakosea ni jambo la kushangaza sana.Nyie ndio mnaokumbatia maafa.Juzi tu hapo kuna walioacha kumhudumia mama mjazito mpaka mtoto akafa.Aliyerekodi apongezwe kwakwel maana hiyo ni hospital ya serikali na huduma inapaswa kuwa bora kwa wote.
 
Mm sina haja ya kumrekod nurse km huyo namuadabisha mwenyewe.
 
Huyu mwanaume ni mchawi sana na ndio sababu ya kufanya kazi na wachawi Yani yeye ameshindwa mwelekeza mwenzako Hadi amrekodi Hilo ni swali la kueleweshana so mwenzake anapoteza kazi Kwa sababu yake dah
Bora kuwa mchawi wa kufichua maovu.

Hilo lidada linaonekana lina nyodo sana ndio maana hata hana nidhamu kwa watumishi wenzake.

Unawezaje kufanya kazi na lidada la namna hii? Nidhamu sifuri, lugha chafu, hata mimi ningemlipua tu.

Mjinga sana.
 
Watu kama hawa ndio wanaosababisha taasisi hazisongi mbele imagine huyu ni boss sehem unafikiri kutakuwa na maendeleo yeyote.Eti wote na wawajibishwe yaani aliyetoa taarifa ya kosa na aliyesababisha kosa aisee.Afrika kwa fikra za hivi tutaendelea kuwa maskini kwakweli
 
Inshort,wote mnaomtetea huyo nurse na mnaomnanga huyo mtu wa maabara kwa kufichua uozo nawaombea siku mkiwa na changamoto ya afya mpate huduma ya nurse kama huyo.
Semeni Amen
 
Huyo jamaa ana tabia za kike. Unarekodi nini sasa,kwani hawana incharge au menejiment ya kujadili jambo. Msenge huyo
Machadema hamna akili nyie. Ndio maana jiwe alikuwa anawatandika viboko.

Mnatetea ufisadi na ujinga. Halafu mnataka kupewa ubunge!! Thubutu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…