Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

Hiv na wenzetu ulaya ndo wako hivi? Mijitu inatetea hii issue.inaonesha ni aina gan ya watumishi tulio nao
 
...Angalia Hata Watu wanavyomsema aliyeliweka hili hadharani, Badala ya kumsema yule Nurse anayetumia Dawa Zilizoexpire Kwa Mama Zetu Wajawazito!
Hatujitambui!!
Ndo mana hatuendelei
 
Ukisoma watu wanavyotoa mawazo yao hapa, utagundua kuwa Tanzania tuko na tunaelekea kubaya. Watu wanatetea kutumia vitu vilivyoisha muda wake waziwazi. Watu wanamkashifu aliyefichua maovu?
Sanaaaa yan inaskitisha mnoooo yani dah[emoji107][emoji107][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Unafanya kazi hospital gan??sitak kubishana na watu ambao hawajuj chochote hukusu afya na hawapo makazini

Hahah bas kaa kwa kutulia kumbe hujui chochote na hutojua na ukiumwq hospital utakuja na tutakutibu na gono lako😂
Usikute wewe ndio hujui kitu. Expired ni expired tu. Acha kuisugarcoat kwa kujianya mjuaji.
 
Ila wanaume siku hizi🙌🙌🙌🙌
 
Si sawa ni makosa
Ila uyo jamaa ametumia njia mbaya zaidi amezua taharuki kwa wateja wetu
Kitu cha kwanza mteja anatakiwa awe nacho ili kazi ziende ni trust hauwezi attend pt ambaye hana trust na wewe
Sawa CO
 
Huyu mwanaume ni mchawi sana na ndio sababu ya kufanya kazi na wachawi Yani yeye ameshindwa mwelekeza mwenzako Hadi amrekodi Hilo ni swali la kueleweshana so mwenzake anapoteza kazi Kwa sababu yake dah
Huyo dada atakua mkeo naona anapete. Ungejua kuna wajawazito wanapoteza watoto na sometimes wanafariki kwa sababu ya wapuuzi kama nyie ungetubu kwa hii comment yako na ungerudi kumchapa makofi huyo mkeo
 
Huyo anaejiita mtaalam wa maabara mshamba sana, yaan bonge la fala
We fala ungejua wajawazito wanavyopoteza maisha kwa upumbavu unaotetea ungetubu sasahivi kwa hiyo comment yako, maana hata wewe usingekuwepo duniani
 
We fala ungejua wajawazito wanavyopoteza maisha kwa upumbavu unaotetea ungetubu sasahivi kwa hiyo comment yako, maana hata wewe usingekuwepo duniani
Huyo fala mwenzako ni mnoko km ww tu
 
Ni kweli kit zinaweza tumika hata baada ya muda ku expire ni kufanya tu quality assurance
Na kwanini iwe kwa wajawazito ambao ndio wapo hatarini zaidi? Wewe unaweza tibiwa kwa kit zilizo expire?
 
Ushamba sana
Unarekodi ya nini?
Upost ili apatwe na nin?
Matatizo yenu wasilisha kwa boss
Mnachosha!
Wewe utakuwa lizembe kazini tu.

Wacha mnyooshwe nyie majitu mavivu na mababaishaji.

Nyodo nyiiingiii, kazi ya babaako?

Fanya kazi, ulipwe mshahara, uondoke zako.
 
Hamtak ukweli mnataka msikie stori za wanasiasa hamjui hata kwamba wanawekaga na target ya makusanyo hospitalini hamjui kama vitu vikipita muda wakuu wanakwambia pambana viishe
Hamjui kama tukisimamia sheria basi hatutawahudumia mnajua ratio ya daktari na mgonjwa inabidi iwe ngapi?
Kazi kufanansha na ulaya
Mnahisi sisi sio watu? Hamjui kama tupo kuona mnapata huduma nzuri ila mazingira yanatulazim? Unadhan mtu atatumia expired kit bila sababu ili afaidike na nini?
Hatukatai baadhi yenu mnafanya kazi nzuri sana na huenda we ni mmoja wao. Lakini hili la kutumia expired kit hata kama huwa mnalifanya hukupaswa kulitetea waziwazi wakati kila siku tunaona vifo vya kina mama na watoto na baadhi ya jamaa zetu walishapoteza wake/watoto na huenda ni kwa uzembe kama huu
 
Aliemrekodi kafanya kosa la kimaadili.
Sitetei lugha yake Ila mpaka ana mrekodi Kuna mambo nyuma ya pazia,
Km ushahidi kulikua na zaidi ya mtu mmoja. Angekwenda kwa inchaji.
Lengo la kaka ni kumharibia huyo dada.
Km Mimi ndo nasimamia nidhami wote nawapa adhabu sawa yaani onyo Kali au pamoja na kuwahamisha wote wawili .
Inawezekana pia alimpandisha jazba ili amrekodi.
Pia Kuna utaratibu wa kutoa taarifa au malalamiko kwa. Maandishi na kwa mdomo.
Pia Kuna bodi za kitaalamu
Wewe ni lizembe kazini tu hapa unajificha ficha kwenyr kivuli cha maadili.

Tena ningefurahi kama huyo dada angepelekwa kwenye bodi ya wauguzi achukuliwe hatua za kinidhamu.

Ubabaishaji ni mwiko. Kafanye ubabaishaji kwa mmeo huko na sio kwenye afya za watu.
 
Sasa kwanini wamemrekodi.. issue unayoweza isha ndani ya offisi very briefly..

Alafu hao ni co-workers.. si sahihi kabisa.
Wote hawana maadili, aliyerekodi na aliyerekodiwa
Kurekodi uovu sio kosa. Ni namna ya kuchukua ushahidi kwa hatua zaidi za kinidhamu.

Pili, acha uzembe na uvivu kazini. Unaonekana lizembe tu wewe hata kazi huwezi.
 
Back
Top Bottom