Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

Kwa hiyo kutokana na resources kuwa limited .
Kwa wachumi ni kawaida hapa duniani resources are scarce.
Pamoja na yote hayo haikubaliki kutumia expired kits kupimia afya ya binadamu.
Ndio maana kuna wataalamu wa uchumi na materials management kwenye kila sekta.
Acha kutetea ujinga na upumbavu.
Kwa taarifa yako mgt ya MSD ilichukuliwa hatua kutokana na mawazo kama yako ya kurundika madawa yaliyoexpire kwenye bohari.
Ukweli ni kwamba watu waache kufanya kazi kimazoea suala la dawa ama kit za kupimia kuisha muda wake haziruhusiwi kupima watu ni kosa sema watu wanafanya kimazoea na pia mfumo wa afya nchii hii bado una shida nyingi hata kufanya clinical diagnosis na kutibu watu bila kupima ni kosa sema hawa MD, CO na CA wanafanya tu basi kwa vile mazingira ya nchi yetu bado ni maskini, pia watu wakiwa serikalini wanajisahau sana wengi wanajali mishahara badala ya weledi
 
Halafu watu wanafariki halafu Mungu anashushiwa lawama kwamba ni mapenzi ya Mungu kumbe sababu ni manesi na madaktari uchwara. Dunia ya tatu shida Sana.
 
so huyo aliyekataa kuzitumia hajayasoma hayo? Kuna haja gani ya kupima tupa hizo MRDT wape hizo Prophlaxis. Msituletee habari zenu za kukariri vitu hapa.
Mbona unani attack mkuu shida ni nini 😂😂😂😂

Mi sijui chochote hapa kayumba kama wewe

Hata kama najua siwezi kuongea mkuu 😂😂 I know and understand my fellow countrtmen
 
Hilo ni suala moja tu kati ya mengi kwenye masuala ya afya ila yapo mengi watu wakisema wanaposti kila kitu mbona patawaka moto, suala ni kwamba taaluma na mambo ya siasa na matamko ya wanasiasa yaachwe kabisa watu wafanye kazi kwa weledi wao pia watu waache mazoea, Ukweli ni kwamba wanakuwa wanajua kabisa ni kitu gani wanakifanya tena makusudi kabisa sema kwa vile siyo ndugu, jamaa, ama rafiki zao basi wanafanya makusudi ili siku iishe wapate mishahara yao
 
Layman ni wewe mnachanganya vitu msivyoelewa MRDT ni lab rapid test sio dawa mbona tunawatibu mara kibao kwenye simu na mnapona bila vipimo
Je hiyo ndo kusema kuwa ni sawa vipimo visivyo sahihi kutumika?
 
Huyu mwanaume ni mchawi sana na ndio sababu ya kufanya kazi na wachawi Yani yeye ameshindwa mwelekeza mwenzako Hadi amrekodi Hilo ni swali la kueleweshana so mwenzake anapoteza kazi Kwa sababu yake dah
Failure
 
Mbona unani attack mkuu shida ni nini 😂😂😂😂

Mi sijui chochote hapa kayumba kama wewe

Hata kama najua siwezi kuongea mkuu 😂😂 I know and understand my fellow countrtmen
mimi nimecopy hiyo quote yako inayoeleza matumizi ya prophlaxis, mimi nashukuru waziri ameshatueleza kuwa hajui kwa nini vitendanishi vilivyokwisha muda wa matumizi vitumike ili hali serikali ina akiba ya kutosha miezi sita. Endeleeni kumshambulia aliyerekodi video mimi naungana na wachache wanaomsifu kwa sababu ametendea haki taaluma yake, na si kufanya kazi kumfurahisha mtu,
 
Unahisi kua layman ni offense?
Yani umechukulia hilo suala kitofauti mimi naweza nsitumie hio kit na nkakutibu vizuri
Assume sasa mkeo amekuja hospital ana umwa (clinically tu ana malaria ) kit zmeexpire Sina means ya kufanya BS na option nyingine nahitaji kumtibu mkeo namwambia ana malaria namwandikia dawa bila kumpima
Unajua akirud home atakwambiaje?

Yani Ile hospital hovyo et Dr ananambia nna malaria na wala hajanitoboa ameniangalia angalia tu machoni mdomoni kanisikiliza kabiandikia dawa

Mimi sinywi hizi dawa
Kwa hiyo inabidi umpime tu kwa gelesha. Hakyanani hawa ndo wataalam wetu na wamesoma kabisa wakagraduate.
 
Back
Top Bottom