Ukweli ni kwamba watu waache kufanya kazi kimazoea suala la dawa ama kit za kupimia kuisha muda wake haziruhusiwi kupima watu ni kosa sema watu wanafanya kimazoea na pia mfumo wa afya nchii hii bado una shida nyingi hata kufanya clinical diagnosis na kutibu watu bila kupima ni kosa sema hawa MD, CO na CA wanafanya tu basi kwa vile mazingira ya nchi yetu bado ni maskini, pia watu wakiwa serikalini wanajisahau sana wengi wanajali mishahara badala ya welediKwa hiyo kutokana na resources kuwa limited .
Kwa wachumi ni kawaida hapa duniani resources are scarce.
Pamoja na yote hayo haikubaliki kutumia expired kits kupimia afya ya binadamu.
Ndio maana kuna wataalamu wa uchumi na materials management kwenye kila sekta.
Acha kutetea ujinga na upumbavu.
Kwa taarifa yako mgt ya MSD ilichukuliwa hatua kutokana na mawazo kama yako ya kurundika madawa yaliyoexpire kwenye bohari.