Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

Aliemrekodi kafanya kosa la kimaadili.
Sitetei lugha yake Ila mpaka ana mrekodi Kuna mambo nyuma ya pazia,
Km ushahidi kulikua na zaidi ya mtu mmoja. Angekwenda kwa inchaji.
Lengo la kaka ni kumharibia huyo dada.
Km Mimi ndo nasimamia nidhami wote nawapa adhabu sawa yaani onyo Kali au pamoja na kuwahamisha wote wawili .
Inawezekana pia alimpandisha jazba ili amrekodi.
Pia Kuna utaratibu wa kutoa taarifa au malalamiko kwa. Maandishi na kwa mdomo.
Pia Kuna bodi za kitaalamu
...Kwa hiyo wewe umeona TU Kosa la aliemrekodi.... Ila Kosa la nayetoa Dawa Zilizoexpire Kwa Mama Wajawazito hulioni???

Haishangazi. Ndivyo tulivyo Watanzania[emoji35][emoji35]
 
Sikiliza video ..

Nani ametoa maagizo ya Mrdt kits kutumika utajua ni Medical incharge.

Nadhanj yeye ndo yuko kwenye shida kubwa kuliko hata Huyo Nurse.

Ndo maana anamuuliza huyo jamaa choko kamuulize incharge ina maaana tamko la kutumia lilitoka Je kwanjni incharge aruhusu mrdt kutumika ilhali anajua Zimexpire kingine huyu jamaa ni choko maana anaendeleza ligi za Kishamba alishindwa kumwambia incharge atumii

Wewe endelea kumwita choko wakati serikali imempongeza kwa kuexpose huo uozo.
 
...Kwa hiyo wewe umeona TU Kosa la aliemrekodi.... Ila Kosa la nayetoa Dawa Zilizoexpire Kwa Mama Wajawazito hulioni???

Haishangazi. Ndivyo tulivyo Watanzania[emoji35][emoji35]
Tuna unafiki wa ajabu sana sisi
 
Hapo aliyerekodi na kusambaza anatakiwa kupigwa na kitu kizito kichwani. Alichokifanya ni kinyume na maadili ya utumishi
Tena ndo mshenzi kuliko watu wote ...maana kila kazi ina privacy zake sasa iweje yeye asambaze na kuleta taaluki kwa jamii na kituo kina Incharge
 
Huyu ni Muhudumu wa Afya Tabora na Mtaalamu wa Maabara.

Washkakaji wanaonekana wanajua wanachokifanya ila mtumishi anajibu full jeuri.

Mamlaka ziangalie jambo hili
View attachment 2470582
Lkn mnona aliyekuwa ana rekodi hakutuonyesha ivyo vifaa vinavyosemakana ku expire ?

Team ya CHMT ya huko Uyui ndio itakuja na ukweli ..hii video ni kama tu michezo ya kukomoana kazini
 
Mi nikajua anamjibu vibaya mteja/mgonjwa.

Kumbe ni wafanyakazi wenzie, hao jamaa ni wambea sana. Akifukuzwa wao wanafaidika nini sasa
 
Itakuwa na uhakika gani exactly ni Nani aliyerekodi hapo
Katika hiyo recording haipungui watu watatu.
1. Nesi, 2. mtaalamu anayebishana na Nesi na 3. ni mpiga picha/video shooter.

Wa kwanza kumbana juu ya aliyerecord ni huyo anayebishana na Nesi maana wakati anaondoka anaonekana kumpita mpiga picha. Hivyo kwa vyovyote anamjua na inaweza kuwa ndiyo wamepangana naye mchezo mzima wa recording.
 
Kama awezi ndio amrekodi mwenzake hyo ana tofauti na mchawi
mchawi unamuona ni aliyerekodi lakini unamwona anayetoa sumu kwa wagonjwa ni malaika siyo. Basi wewe utakuwa chizi. Sisi tunampongeza aliyekataa uhuni wa kuwaua watanzania na wajawazito kwa makusudi. Nadhani kama yeye ni mchawi wewe utakuwa bosi wake
 
Una muua mtanzanja kwa mrdt
 
Katika hiyo recording haipungui watu watatu.
1. Nesi, 2. mtaalamu anayebishana na Nesi na 3. ni mpiga picha/video shooter.

Wa kwanza kumbana juu ya aliyerecord ni huyo anayebishana na Nesi maana wakati anaondoka anaonekana kumpita mpiga picha. Hivyo kwa vyovyote anamjua na inaweza kuwa ndiyo wamepangana naye mchezo mzima wa recording.
mbona watanzania kama mmerogwa mnapigana na aliyerekodi badala ya kumsifu kwa kuokoa maisha ya watanzania? ndo maana vijana wa kitanzania kwa sasa hamjuariki kwa sababu hakuna anayewaamini. Kuiba mnaita deal, vitu vya ajabu ndo mnashabikia zaidi. Kwenu jema nini wangekaa kimya watanzania waendelee kudanganywa kuwa wanapimwa malaria ili hali si kweli? Aliyetengeneza kipimo na kukipa muda wa kuishi anajua ni kwa nini
 
Back
Top Bottom