Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo mana hatuendelei...Angalia Hata Watu wanavyomsema aliyeliweka hili hadharani, Badala ya kumsema yule Nurse anayetumia Dawa Zilizoexpire Kwa Mama Zetu Wajawazito!
Hatujitambui!!
Sanaaaa yan inaskitisha mnoooo yani dah[emoji107][emoji107][emoji24][emoji24][emoji24]Ukisoma watu wanavyotoa mawazo yao hapa, utagundua kuwa Tanzania tuko na tunaelekea kubaya. Watu wanatetea kutumia vitu vilivyoisha muda wake waziwazi. Watu wanamkashifu aliyefichua maovu?
Unafanya kazi hospital gan??sitak kubishana na watu ambao hawajuj chochote hukusu afya na hawapo makazini
Usikute wewe ndio hujui kitu. Expired ni expired tu. Acha kuisugarcoat kwa kujianya mjuaji.Hahah bas kaa kwa kutulia kumbe hujui chochote na hutojua na ukiumwq hospital utakuja na tutakutibu na gono lako😂
Sawa COSi sawa ni makosa
Ila uyo jamaa ametumia njia mbaya zaidi amezua taharuki kwa wateja wetu
Kitu cha kwanza mteja anatakiwa awe nacho ili kazi ziende ni trust hauwezi attend pt ambaye hana trust na wewe
Huyo dada atakua mkeo naona anapete. Ungejua kuna wajawazito wanapoteza watoto na sometimes wanafariki kwa sababu ya wapuuzi kama nyie ungetubu kwa hii comment yako na ungerudi kumchapa makofi huyo mkeoHuyu mwanaume ni mchawi sana na ndio sababu ya kufanya kazi na wachawi Yani yeye ameshindwa mwelekeza mwenzako Hadi amrekodi Hilo ni swali la kueleweshana so mwenzake anapoteza kazi Kwa sababu yake dah
Halafu eti ni mtaalamu wa afya. Bogus kabisaAiseeh unampima Mgonjwa Ili kumridhisha? Hata Kama kipimo hakifanyi kazi.
MnoooooHii thread ukisoma comment vizuri ina fichua majinga mengi sanaaa.hamna aja ya kufanya research mtaani kupitia hapa tu nme note vilaza wengi sanaaaaa
We fala ungejua wajawazito wanavyopoteza maisha kwa upumbavu unaotetea ungetubu sasahivi kwa hiyo comment yako, maana hata wewe usingekuwepo dunianiHuyo anaejiita mtaalam wa maabara mshamba sana, yaan bonge la fala
Huyo fala mwenzako ni mnoko km ww tuWe fala ungejua wajawazito wanavyopoteza maisha kwa upumbavu unaotetea ungetubu sasahivi kwa hiyo comment yako, maana hata wewe usingekuwepo duniani
Na kwanini iwe kwa wajawazito ambao ndio wapo hatarini zaidi? Wewe unaweza tibiwa kwa kit zilizo expire?Ni kweli kit zinaweza tumika hata baada ya muda ku expire ni kufanya tu quality assurance
Wewe utakuwa lizembe kazini tu.Ushamba sana
Unarekodi ya nini?
Upost ili apatwe na nin?
Matatizo yenu wasilisha kwa boss
Mnachosha!
Anaoneka ni reckless na roho ya uuaji,leo mrdt,kesho itakua nn??? Waanzaga hvo hvo,hyo mbegu mbaya lazma itoleweUna muua mtanzanja kwa mrdt
Leo nmewagundua maboya weng kwenye huu uziKumbe we naye boya hivi.
Hatukatai baadhi yenu mnafanya kazi nzuri sana na huenda we ni mmoja wao. Lakini hili la kutumia expired kit hata kama huwa mnalifanya hukupaswa kulitetea waziwazi wakati kila siku tunaona vifo vya kina mama na watoto na baadhi ya jamaa zetu walishapoteza wake/watoto na huenda ni kwa uzembe kama huuHamtak ukweli mnataka msikie stori za wanasiasa hamjui hata kwamba wanawekaga na target ya makusanyo hospitalini hamjui kama vitu vikipita muda wakuu wanakwambia pambana viishe
Hamjui kama tukisimamia sheria basi hatutawahudumia mnajua ratio ya daktari na mgonjwa inabidi iwe ngapi?
Kazi kufanansha na ulaya
Mnahisi sisi sio watu? Hamjui kama tupo kuona mnapata huduma nzuri ila mazingira yanatulazim? Unadhan mtu atatumia expired kit bila sababu ili afaidike na nini?
Wewe ni lizembe kazini tu hapa unajificha ficha kwenyr kivuli cha maadili.Aliemrekodi kafanya kosa la kimaadili.
Sitetei lugha yake Ila mpaka ana mrekodi Kuna mambo nyuma ya pazia,
Km ushahidi kulikua na zaidi ya mtu mmoja. Angekwenda kwa inchaji.
Lengo la kaka ni kumharibia huyo dada.
Km Mimi ndo nasimamia nidhami wote nawapa adhabu sawa yaani onyo Kali au pamoja na kuwahamisha wote wawili .
Inawezekana pia alimpandisha jazba ili amrekodi.
Pia Kuna utaratibu wa kutoa taarifa au malalamiko kwa. Maandishi na kwa mdomo.
Pia Kuna bodi za kitaalamu
Kurekodi uovu sio kosa. Ni namna ya kuchukua ushahidi kwa hatua zaidi za kinidhamu.Sasa kwanini wamemrekodi.. issue unayoweza isha ndani ya offisi very briefly..
Alafu hao ni co-workers.. si sahihi kabisa.
Wote hawana maadili, aliyerekodi na aliyerekodiwa
Ujinga wako sio mtupu..Tena ndo mshenzi kuliko watu wote ...maana kila kazi ina privacy zake sasa iweje yeye asambaze na kuleta taaluki kwa jamii na kituo kina Incharge