Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

Huyu mshkaji boya sna alieipost nahis ana sababu nyengine binafsi yakufanya hivo

Hayo mambo vituoni nikawaida mabishana ya maneno makali na kutaniana
Eti na wewe umepewa like ,,daah Tanzania ina matahira sio vichaa tena ,,hii nchi hata uwe chizi unaweza kua kiongozi....
 
mimi sina hasira mkuu mimi hizo hosp zenu sikanyagi na situmii NHIF mimi hata mafua break ya kwanza Agakhan. Niliyajua siku nyingi haya nikajiunga na bima za kueleweka ambazo ni International mimi na familia yangu. Popote ulimwenguni mimi natibiwa. Lakini bado siwezi kuunga mkono ujinga wanaofanyiwa watanzania wenzangu. Mimi ninatumia executive health care plan ya Aetna International. Bado nitapiga kelekele kwa huu ujinga wanaofanyiwa wa Tz wenzangu. Tozo kila Mahali mikopo kila siku bado tutibiwe na vifaa tiba vilivyoisha muda wa matumizi, tukatae ukinga huu
 
Kosa kwa mujibu wa sheria ipi? itaje.
Kutoa taarifa yoyote kuhusu sehemu unapofanyia kazi ni kosa.

Kwenye taasisi yoyote ya serikali mtoa taarifa ni mkuu wa taasisi au watu aliowapa ruhusa kwa maandishi kama vile maafisa mawasiliano. Mtu mwingine yeyote ni lazima uwe na kibali cha maandishi kutoka kwa mkuu wa taasisi yako.

Kwa kifupi hata ukiukizwa swali na waandishi wa habari, kama wewe sio msemaji wa taasisi na hauna kibali cha maandishi hautakiwi kujibu kabisa.

Kanuni za utumishi wa umma ndio ziko hivyo. Huyo aliyerekodi na kusambaza amefanya kosa.
 
Unajua kitu kinaitwa chain of command in organization?
Inaonyesha huyo mzungumzaji chain of command yake ni Kwa huyo mdada,
Huyo mdada naye angeripoti Kwa bosi wake.
 
Huyu ni Muhudumu wa Afya Tabora na Mtaalamu wa Maabara.

Washkakaji wanaonekana wanajua wanachokifanya ila mtumishi anajibu full jeuri.

Mamlaka ziangalie jambo hili
Kuna mengi yamefichama nyuma ya pazia
 

Tofautisha kutoa taarifa na kufichua uovu.
 
Mwenyekiti wa chadema huyo anatetea uzembe kazini.

Haya mawatu ni bure kabisa ndio maana magufuli alikuwa anayacharaza bakora!

CHADEMA imeingiaje hapa? Kila kitu CHADEMA, kutoka TRA mpaka hospitalini.

Huyo Magufuli aliyekuwa anachapa watu naye alivyochapika akafa moja kwa moja ngoma draw.
 
Hilo Jambo limepelkwa kwa bosi ila huyo dada analazimisha kutumia vifaa vilivyoexpire , unaenda kupima ngoma unaambiwa unayo kumbe huna.
Yaani naona Mimi nimemuelewa nesi wa kike tofauti na wewe samàhani. Nionavyo kinachobishaniwa ni vifaa vilivyoisha Muda wake vitumike au visitumike? Maana Hakuna mbadala. Dada anashauri vilivyopo vitumike maana Hakuna namna, mwenzie anasema Mimi siwezi kutumia vilivyoisha Muda wake. Dada anauliza wewe ndo unajiona unajua zaidi ya walio juu? Maana ya swali hili ni kwamba kutokuwepo Kwa vifaa vipya kunajulikana na wakuu wao. Kwangu tatizo là binti ni lugha isiyo ya kistaarabu Kwa mwenzie, lakini aliyerekodi na kurusha mitandaoni sijui ana lengo gani? Nadhani aliona anamkomoa Huyo binti lakini sioni ukubwa wa kosa lake maana yeye ameombwa ushauri na kashauri tutumie kilichopo.
 
Hili ataonewa huyu Dada, lakini ukifuatilia unaweza kuta vimetoka MSD vimebakiza wiki kuexpire.
 
Kwa serikali ipi wakati hata ripoti ya CAG ilitwambia MSD wanapeleka vitendanishi vilivyoisha Muda wake?
 
Mkuu,kwa ninavyofahamu ,aliyemrekodi amevuka mstari alipoipost hii video hapa.Hawa wote ni watumishi wa umma
ni kweli kbs, hakupaswa kuianika jamvini,angeendesha case ndani kwa ndani. ila huyo mdada kaiaibisha taasisi, kwamba kutumia na kutoa dawa/vifaa zilizo expire kwao ni sawa ila kwa wengine duuh!!!
 
Je kifaaa kikiexp kinatakiwa tumika mda gani ndo kitupwe maana nachojua mm tunatumia vingi vilivyo exp lakini hatupati madhara nilisha wai kunywa maziwa yalio exp mwezi mmoja nyuma na sikupata chochote nishakunywa soda ilioexp mwezi mmoja nyuma na sikupata chochote kwa wanao weka exp date nadhani huwa wanarudisha date nyuma wakijua TZ unyama ni mwingi na huyo dada atapona tu coz lazima vilivyo pita muda vina kipindi Cha mwisho kutumika ila huyo aliesambaza tukutane kijijini msimu wa kulima
 
Unaweza kuta huyo dada kauza dawa ambazo hazija expire maabara za hospitali binafsi, hizo zilizo expire kapewa ku replace ili zisijulikane, kuna mengi ya kuchunguza hapo, kuanzia uongozi wa hosp na mwenendo mzima wa hospitali hiyo.
 
Hata kutumia kwa ajili ya screening haitakiwi,na mjamzito akikutwa na malaria hatumii prophylaxis(SP),atatibiwa malaria kwa ALU au dawa nyingine
Naona Jamaa kaamua kufuta comment yake baada YA kugundua kaandika utumbo, kama watumishi wa afya tulionao Ni wa Aina hii basi afya zetu zipo hatarini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…