Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
We ndio msenge kwa kutetea uovu wa huyo nurse
Acha matusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ndio msenge kwa kutetea uovu wa huyo nurse
Eti na wewe umepewa like ,,daah Tanzania ina matahira sio vichaa tena ,,hii nchi hata uwe chizi unaweza kua kiongozi....Huyu mshkaji boya sna alieipost nahis ana sababu nyengine binafsi yakufanya hivo
Hayo mambo vituoni nikawaida mabishana ya maneno makali na kutaniana
Huyo spidernyoka ni kihiyoKwahiyo ukiwa na limited resouce ndo utumie hata vilivyoharibika..?
Unaweza kunywa soda iliyoexpire kwasaababu zimeadimika kwa kipindi hicho..?
Kutoa taarifa yoyote kuhusu sehemu unapofanyia kazi ni kosa.Kosa kwa mujibu wa sheria ipi? itaje.
NDio sababu wenye hela wanaenda kutibiwa nje ama private tu kwa undezi kama wakoMwalimu wa tuisheni wewe wa mwsho kujibu ila hao wataalam wanajua wanalolifanya kutumia kit ambayo imepita muda haitakufanya ukose huduma au ufe
Huyo ni tahira hana utaalamu wowote,,kwa akili kama hizo hii nchi inawajinga Sana...Halafu eti ni mtaalamu wa afya. Bogus kabisa
Unajua kitu kinaitwa chain of command in organization?Sikiliza video ..
Nani ametoa maagizo ya Mrdt kits kutumika utajua ni Medical incharge.
Nadhanj yeye ndo yuko kwenye shida kubwa kuliko hata Huyo Nurse.
Ndo maana anamuuliza huyo jamaa choko kamuulize incharge ina maaana tamko la kutumia lilitoka Je kwanjni incharge aruhusu mrdt kutumika ilhali anajua Zimexpire kingine huyu jamaa ni choko maana anaendeleza ligi za Kishamba alishindwa kumwambia incharge atumii
Kuna mengi yamefichama nyuma ya paziaHuyu ni Muhudumu wa Afya Tabora na Mtaalamu wa Maabara.
Washkakaji wanaonekana wanajua wanachokifanya ila mtumishi anajibu full jeuri.
Mamlaka ziangalie jambo hili
Kutoa taarifa yoyote kuhusu sehemu unapofanyia kazi ni kosa.
Kwenye taasisi yoyote ya serikali mtoa taarifa ni mkuu wa taasisi au watu aliowapa ruhusa kwa maandishi kama vile maafisa mawasiliano. Mtu mwingine yeyote ni lazima uwe na kibali cha maandishi kutoka kwa mkuu wa taasisi yako.
Kwa kifupi hata ukiukizwa swali na waandishi wa habari, kama wewe sio msemaji wa taasisi na hauna kibali cha maandishi hautakiwi kujibu kabisa.
Kanuni za utumishi wa umma ndio ziko hivyo. Huyo aliyerekodi na kusambaza amefanya kosa.
Mwenyekiti wa chadema huyo anatetea uzembe kazini.
Haya mawatu ni bure kabisa ndio maana magufuli alikuwa anayacharaza bakora!
Yaani naona Mimi nimemuelewa nesi wa kike tofauti na wewe samàhani. Nionavyo kinachobishaniwa ni vifaa vilivyoisha Muda wake vitumike au visitumike? Maana Hakuna mbadala. Dada anashauri vilivyopo vitumike maana Hakuna namna, mwenzie anasema Mimi siwezi kutumia vilivyoisha Muda wake. Dada anauliza wewe ndo unajiona unajua zaidi ya walio juu? Maana ya swali hili ni kwamba kutokuwepo Kwa vifaa vipya kunajulikana na wakuu wao. Kwangu tatizo là binti ni lugha isiyo ya kistaarabu Kwa mwenzie, lakini aliyerekodi na kurusha mitandaoni sijui ana lengo gani? Nadhani aliona anamkomoa Huyo binti lakini sioni ukubwa wa kosa lake maana yeye ameombwa ushauri na kashauri tutumie kilichopo.Hilo Jambo limepelkwa kwa bosi ila huyo dada analazimisha kutumia vifaa vilivyoexpire , unaenda kupima ngoma unaambiwa unayo kumbe huna.
Usikute wewe ndio hujui kitu. Expired ni expired tu. Acha kuisugarcoat kwa kujianya mjuaji.
Hili ataonewa huyu Dada, lakini ukifuatilia unaweza kuta vimetoka MSD vimebakiza wiki kuexpire.Kitu kikiisha muda wake kiteketezwe.
Kutumia kupima ugonjwa na upotevu wa muda na kumsumbua mgonjwa.
Hilo kosa la jinai kabisa, maabara au hospital binafsi wangekutwa wanatumia vipimo hivyo wangafutiwa lesseni ya kutoa huduma na pengine watu wangefungwa.
Ni ujinga kulindana kwenye mambo ya afya za watu, jambo hatari sana.
Kwa serikali ipi wakati hata ripoti ya CAG ilitwambia MSD wanapeleka vitendanishi vilivyoisha Muda wake?Kwa maana hiyo ni vitu viwili tofauti.
Ni utaratibu sahihi dhidi ya mazoea. Kwa vyovyote vile Hilo ni kosa iwe mjini au kijijini Kama zilishaisha muda wa matumizi basi hazifai kwa vyovyote.
Ndo maana kila bidhaa huwa na expired date, Ubora wa bidhaa,kifaa au dawa hupungua kadri muda unavyoenda. So majibu yatakayokuja hayawezi kuakisi matokeo ya kweli ya upimaji.
Tusiishi kwa mazoea, Tuishi uhalisia.
ni kweli kbs, hakupaswa kuianika jamvini,angeendesha case ndani kwa ndani. ila huyo mdada kaiaibisha taasisi, kwamba kutumia na kutoa dawa/vifaa zilizo expire kwao ni sawa ila kwa wengine duuh!!!Mkuu,kwa ninavyofahamu ,aliyemrekodi amevuka mstari alipoipost hii video hapa.Hawa wote ni watumishi wa umma
Naona Jamaa kaamua kufuta comment yake baada YA kugundua kaandika utumbo, kama watumishi wa afya tulionao Ni wa Aina hii basi afya zetu zipo hatariniHata kutumia kwa ajili ya screening haitakiwi,na mjamzito akikutwa na malaria hatumii prophylaxis(SP),atatibiwa malaria kwa ALU au dawa nyingine