Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

Hili ataonewa huyu Dada, lakini ukifuatilia unaweza kuta vimetoka MSD vimebakiza wiki kuexpire.
Sawa lakini lazima awepo mtu wa kuwajibika serikalini. Huu ni uuwaji.
Mtu ataambiwa hana malaria kumbe anayo.
 
CHADEMA imeingiaje hapa? Kila kitu CHADEMA, kutoka TRA mpaka hospitalini.

Huyo Magufuli aliyekuwa anachapa watu naye alivyochapika akafa moja kwa moja ngoma draw.
Hahahaa kufa ni ibada sio adhabu.

Sote tutakufa, lakini wababaishaji lazima watandikwe bakora regardless.
 
Katika hiyo recording haipungui watu watatu.
1. Nesi, 2. mtaalamu anayebishana na Nesi na 3. ni mpiga picha/video shooter.

Wa kwanza kumbana juu ya aliyerecord ni huyo anayebishana na Nesi maana wakati anaondoka anaonekana kumpita mpiga picha. Hivyo kwa vyovyote anamjua na inaweza kuwa ndiyo wamepangana naye mchezo mzima wa recording.
Kwa nini kosa liwe recording?
Mboba mnapindisha ukweli ninyi watu?

Tatizo la msingi hapo ni muuguzi kulazimisha vipimo vilivyo expire vitumike.
Aliyepiga picha anastahili kupongezwa inawezekana ni mchezo waliouzoea na huenda huyo mtu wa maabara angewajibishwa kwa kukataa kupima wagonjwa.Kuna uonevu mwingi sana huko halmashauri.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Aliyerekodi pia anakosa kubwa na yeye anaweza kosa kazi ,issue za ofisi ni siri sasa hapa kazua taharuki

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Kweli kosa Analo lakini kikubwa sisi wananchi wa hali ya chini tumejua.... Ukweli...
Na kweli sisi ni Wanyonge... Na mnyonge hana haki... Usikute hata mimi hapa nishapiga sana outdated drugs daah!!![emoji24][emoji24]
 
Huyo jamaa ana tabia za kike. Unarekodi nini sasa,kwani hawana incharge au menejiment ya kujadili jambo. Msenge huyo
Kama incharge nae ndo walewale je???
Si unasikia huyo nurse anamwamwimbia jamaa kama vipi akamwambie incharge... Vipi kama nurse na incharge wana collaboration in fake and bogus drugs treaty from mother country na agents kibao wapo humo noma[emoji23]
 
Ni kweli kit zinaweza tumika hata baada ya muda ku expire ni kufanya tu quality assurance
Unazungumza vitu ulivyokariri chuo wewe.
Unafanyaje hiyo QA?
Kwa miongozo ipi?
Acheni kujitoa akili nyie.
Hii ndiyo inafanya watu wawachukie sana watu wa kada ya afya kwa sababu ya ujuaji kama wako wa kishamba tu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Kama incharge nae ndo walewale je???
Si unasikia huyo nurse anamwamwimbia jamaa kama vipi akamwambie incharge... Vipi kama nurse na incharge wana collaboration in fake and bogus drugs treaty from mother country na agents kibao wapo humo noma[emoji23]
Huyu nesi anaonekana ana mahusiano ya kingono na INCHARGE.

Ana kiburi kisichokuwa cha kawaida. Wote wachunguzwe na huyo INCHARGE WAKE anayeruhusu matumizi ya VIPIMO VISIVYOFAA.
 
mimi sina hasira mkuu mimi hizo hosp zenu sikanyagi na situmii NHIF mimi hata mafua break ya kwanza Agakhan. Niliyajua siku nyingi haya nikajiunga na bima za kueleweka ambazo ni International mimi na familia yangu. Popote ulimwenguni mimi natibiwa. Lakini bado siwezi kuunga mkono ujinga wanaofanyiwa watanzania wenzangu. Mimi ninatumia executive health care plan ya Aetna International. Bado nitapiga kelekele kwa huu ujinga wanaofanyiwa wa Tz wenzangu. Tozo kila Mahali mikopo kila siku bado tutibiwe na vifaa tiba vilivyoisha muda wa matumizi, tukatae ukinga huu
Wakora weitu, wabonaki?
 
Back
Top Bottom