Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Kwahiyo hata MRDT ikisoma +VE unatoa prophylaxis Sio?Wanajua sasa prophylaxis ni nini [emoji23][emoji23][emoji23]unapoteza muda tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo hata MRDT ikisoma +VE unatoa prophylaxis Sio?Wanajua sasa prophylaxis ni nini [emoji23][emoji23][emoji23]unapoteza muda tu
Sawa lakini lazima awepo mtu wa kuwajibika serikalini. Huu ni uuwaji.Hili ataonewa huyu Dada, lakini ukifuatilia unaweza kuta vimetoka MSD vimebakiza wiki kuexpire.
Mi sijui hata 😂Kwahiyo hata MRDT ikisoma +VE unatoa prophylaxis Sio?
Ulikuwa Na maana Gani kujibu vile?Mi sijui hata [emoji23]
Hata sijui mkuu nlkua nmelewaUlikuwa Na maana Gani kujibu vile?
Bong'oa.Nishughulikie sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaa kufa ni ibada sio adhabu.CHADEMA imeingiaje hapa? Kila kitu CHADEMA, kutoka TRA mpaka hospitalini.
Huyo Magufuli aliyekuwa anachapa watu naye alivyochapika akafa moja kwa moja ngoma draw.
Wewe, kuna viwango vya makosa ya kufukuzwa kazi.Aliyerekodi pia anakosa kubwa na yeye anaweza kosa kazi ,issue za ofisi ni siri sasa hapa kazua taharuki
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Bong'oa.
Huyo ni Dokta Uchwara.Kwahiyo hata MRDT ikisoma +VE unatoa prophylaxis Sio?
Kisamvu tu wewe.Unahamu ya kupigika wewe kijana endelea
Kwa nini kosa liwe recording?Katika hiyo recording haipungui watu watatu.
1. Nesi, 2. mtaalamu anayebishana na Nesi na 3. ni mpiga picha/video shooter.
Wa kwanza kumbana juu ya aliyerecord ni huyo anayebishana na Nesi maana wakati anaondoka anaonekana kumpita mpiga picha. Hivyo kwa vyovyote anamjua na inaweza kuwa ndiyo wamepangana naye mchezo mzima wa recording.
Ndio mpumbavu wewe!Una muua mtanzanja kwa mrdt
Kisamvu tu wewe.
Kweli kosa Analo lakini kikubwa sisi wananchi wa hali ya chini tumejua.... Ukweli...Aliyerekodi pia anakosa kubwa na yeye anaweza kosa kazi ,issue za ofisi ni siri sasa hapa kazua taharuki
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Kama incharge nae ndo walewale je???Huyo jamaa ana tabia za kike. Unarekodi nini sasa,kwani hawana incharge au menejiment ya kujadili jambo. Msenge huyo
Unazungumza vitu ulivyokariri chuo wewe.Ni kweli kit zinaweza tumika hata baada ya muda ku expire ni kufanya tu quality assurance
Huyu nesi anaonekana ana mahusiano ya kingono na INCHARGE.Kama incharge nae ndo walewale je???
Si unasikia huyo nurse anamwamwimbia jamaa kama vipi akamwambie incharge... Vipi kama nurse na incharge wana collaboration in fake and bogus drugs treaty from mother country na agents kibao wapo humo noma[emoji23]
Wakora weitu, wabonaki?mimi sina hasira mkuu mimi hizo hosp zenu sikanyagi na situmii NHIF mimi hata mafua break ya kwanza Agakhan. Niliyajua siku nyingi haya nikajiunga na bima za kueleweka ambazo ni International mimi na familia yangu. Popote ulimwenguni mimi natibiwa. Lakini bado siwezi kuunga mkono ujinga wanaofanyiwa watanzania wenzangu. Mimi ninatumia executive health care plan ya Aetna International. Bado nitapiga kelekele kwa huu ujinga wanaofanyiwa wa Tz wenzangu. Tozo kila Mahali mikopo kila siku bado tutibiwe na vifaa tiba vilivyoisha muda wa matumizi, tukatae ukinga huu
Utakuta hizo ni degree tupuMnashangaza sana nyie mnaojiita wataalam afu mnatetea uthenge wa kutumia madude yaloexpire. Sijui mnalevel gani ya elimu aisee