Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

Mungu aingilie Kati kuliponya taifa hili na uadilifu, watanzania tumekuwa watu kufarahia na kutetea uzembe.
 
Acheni siasa kama hizi wandugu!
Yaani uripoti kwa MO,akichelewa kuchukua hatua unaenda kwa DMO akichelewa unaenda kwa Mkurugenzi!!!
Ulishasutwa kwa majungu wewe?Hapo si ndio utafukuzwa kazi au kufanyiwa fitna hadi kazi utaacha mwenyewe!

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni mjinga sana,
akili zako ni madudu tupu,
kichwa umebeba kama mzigo tu!

Matatizo ya jamii zetu hayawezi kumalizwa kwa kurekodi na kupost kwenye mitandao, zamani kabla ya mitandao nini kilitatua matatizo?

Mifumo ya kiuongozi inapaswa kufuatwa kama mtumishi ana shida au vifaa au mazingira ya kazi zipo chain za kutatua mambo hayo sio kurekodi na kupost.

Kila mtu akiamua kurekodi changamoto za kila siku na kupost kwenye mitandao tutatazama video ngap kwa siku? Na serikali itahamia huku kujibu kila video.

Halafu unasema sijui wewe ni aghakhan, international bima na familia yako bla bla bla hakuna aliyekuuliza mzee, sisi ndio wale tumetibiwa na hayo mavifaa yalioexpire tangu tukiwa watoto na mpaka leo tunadunda!

Ushamba ni mzigo!
 
Utaratibu ndio uko hivyo, kama hauwezi kuufuata hakuna anayekulazimisha kufanya kazi serikalini.
 
Hata kutumia kwa ajili ya screening haitakiwi,na mjamzito akikutwa na malaria hatumii prophylaxis(SP),atatibiwa malaria kwa ALU au dawa nyingine
Umenena vema sana, logic nyuma yake ukiizingatia unadrop kila aina ya hasira unaona haina haja ya kujishtua saaaaaaaana
 
mimi siyo mtumishi habari na taratibu za utumishi hazinihusu. Mimi ni mlaji au mtumia huduma hivo kwangu mimi hiyo mifumo yako haisaidii. Alafu unadai sina akili nadhani wewe ndo hauna akili. Kwangu mimi aliyerekodi na kutuma video ni shujaa.
Ukiniuliza habari za zamani mimi sikuwepo hivo unapaswa kumwuliza bibi au babu yako hao ndo wa zamani.
Hili jambo lingekuwa halina maana serikali isingechukuwa hatua za haraka kama ilivyo fanya. Lakini pia bila kurekodi haya yasingefanyika. Na kumbuka haya yanawaathiri ninyi zaidi kuliko mimi, mimi siyo member wa NHIF na nina uwezo wa kutubiwa hospital yoyote kubwa nchi hii na nje ya nchi.
Wewe unayejiita una akili, akili gani kilaza tu wewe. Humudu hata kumnunua bodaboda bila kupanga foleni ya kupitisha fomu ya mkopo kwa mkuu wa idara. Bwege na huyo malaya wako aliyekuwa anaongea kwa nyodo akijinadi kuwapima wajawazito na vifaa vilivyoisha muda tayari amesimamishwa kazi!
 
Punguani WA akili wewe

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
hakuna aliyeuliza wewe
ni mtumishi au nani na pia,
sijibu huu upupu mimi.

Kajifunze kuandika kwanza kutibiwa sio "kutubiwa"
 
Waelekeze kuna watu hawajui chochote kuhusu afya huko makazini af wanakuja kuongea vitu wasivojua


Ni nini cha maana sana katika kufanyia kazi kada ya Afya, mbona tunawaona wengi tu ni makapuku huku mitaani?

Hoja iliyopo haihitaji hata kufanya kazi huko unakodai unafanya ili kuijibu, vifaa vime- expire (vimefikia mwisho wa matumizi) kila mtu anajua ni lazima viwe disposed, sasa hii hoja ya kusema ni lazima tuwe kwenye sector ya Afya ili tulijue hilo ni ulimbukeni wa kutaka kila mtu ajue unafanya kazi gani. Matokeo yake mnapima watu na kuwapa magonjwa ambayo hawana kisha wanateseka na madawa yasiyo sahihi.

Binafsi siwezi kutibiwa na hopeless kama wewe, baki hukohuko vichochoroni.
 
hakuna aliyeuliza wewe
ni mtumishi au nani na pia,
sijibu huu upupu mimi.

Kajifunze kuandika kwanza kutibiwa sio "kutubiwa"
Unasema hujibu na umejibu, nakukumbusha mimi siyo mwalimu wa muundo na sarufi hivo kuandika naandika ili wewe usome na uelewe. Habari ya sarufi na muundo, pelekea watoto wenzio huko. Mpuuzi mmoja wewe. Chawa mmeathiriwa na tabia za kujipendekeza mpaka mnakera. Unanieleza kanuni za utumishi mimi zina nihusu nini? Narudia kusema mimi kinachonihusu hapo ni ujumbe uliobebwa na hiyo clip, kanuni zako peleka huko kwa machoko wenzio wasiojitambua kama wewe.
Bado namsifu huyo aliyerekodi na kusambaza hiyo video, povu linakutoka sana kama unahusika subiri tu hiyo laki 4 uliyokuwa unalipwa kwa mwezi utaenda kuisikia tu na bado kadi inashikiliwa na aliyekukopesha kwa riba bwege wewe.
 
Habari za asubuhi Viongozi,poleni kwa mtafaruku wa jana,kwa kifupi,ufuatiliaji uliofanyika jana na timu zote tatu kituoni hapo, ulibaini hakuna MRDT zilizo tumika hapo kituoni,kituo ,walikuta kit 41 ambazo zitaexpire April 2023 mtaalamu wa Maabara ndio alikuwa anazikataa kutumia hizo , na niyeye mtaalamu wa maabara aliyekuwa anachukua clip na aliwarushia wenzake amekiri na sio mara yake ya kwanza kuchukua clip kituo hapo ,lakini pia kuna chokochoko kati ya watumishi hao ni jambo ambalo lingeisha bila taharuki kama iliotokea.




Nimeitoa WhatsApp
 
Kama incharge nae ndo walewale je???
Si unasikia huyo nurse anamwamwimbia jamaa kama vipi akamwambie incharge... Vipi kama nurse na incharge wana collaboration in fake and bogus drugs treaty from mother country na agents kibao wapo humo noma[emoji23]
Kuna DMO kuna CHMT kuna RMO.
 
Unaweza kuta huyo dada kauza dawa ambazo hazija expire maabara za hospitali binafsi, hizo zilizo expire kapewa ku replace ili zisijulikane, kuna mengi ya kuchunguza hapo, kuanzia uongozi wa hosp na mwenendo mzima wa hospitali hiyo.
Uwe unaelewa basi. Vifaa vya maabara anakaa navyo Nesi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…