King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 1,399
- 2,110
Mungu aingilie Kati kuliponya taifa hili na uadilifu, watanzania tumekuwa watu kufarahia na kutetea uzembe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni siasa kama hizi wandugu!Utumishi wa umma una taratibu zake, ukigundua kuna makosa mfano vifaa vimekwisha muda wake basi unatoa taarifa sehemu sahihi (immediate supervisor), asipolifanyia kazi basi unapeleka ngazi ya juu zaidi.
Huo ndio utaratibu, kurekodi na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii ni kosa, na haijalishi ulikuwa na lengo zuri au baya, kosa ni kosa tu. Na atachukuliwa hatua stahiki.
BTW hiyo lugha yako ya matusi inaonesha wewe ni mtoto mdogo uliyekalisha matako yako nyumbani kwa shemeji yako. Shika madaftari kasome mjinga wewe.
Ndio kesha simamishwa kazi sasa. Na anafukuzwa.We ndio mpumbavu kama nurse ni hawara yako mtafutie kazi nyingine.
Shetani tu ndiye anaweza kutetea huo ujinga
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Wewe ni mjinga sana,Mi nadhani mshamba ni wewe, huyo aliyerekodi hilo siyo tatizo lake make alikuwa na uwezo wa kuzitumia MRDT zilizoisha muda wa matumizi kama alivoelekezwa na huyo dada. Lakini yeye akaona haiwezi kufanya hivo na amkeusaidia wewe unapoenda kwenye vituo vya afya vya serikali kaambiwa huna malaria tafakari. Jiulize mara mbili mbili. Lakini kwa kasumba zenu za kishabiki mnaona snitch lakini atakuwa ameokoa maisha ya akina mama wajawazito wengi.
Yawezekana hizi zilizoexpire wanazipata kwenye maduka yao ya kuuza dawa na zile nzuri za serikali wanarudisha madukani kwao ili wapige pesa.
Wengi mnaoshabikia humu ndo wale mna vibima vyenu vya NHIF ambao hammudu kulipa elfu 60 au 30 kumwona Dakitari kwenye hosp za binafsi.
Nahitimisha mshamba ni wewe ambaye uanaamini ujanja ni kufumbia macho maovu, ili jambo litakuwa kubwa sana kama huyo dada anatembea na bosi wake ili amlinde kwa kuuzia wagonjwa vifaa feki, ili litafukunyuliwa mpaka ijuilikane mara ya mwisho lini aliagiza hizo MRDT na zilituma vipi, zilikuwa lot number gani, kutoka bohari gani.
Usalama wao iwe ni deal mpaka ya RMO na watu board huko na Ummy aamue kufumba macho.
Utaratibu ndio uko hivyo, kama hauwezi kuufuata hakuna anayekulazimisha kufanya kazi serikalini.Acheni siasa kama hizi wandugu!
Yaani uripoti kwa MO,akichelewa kuchukua hatua unaenda kwa DMO akichelewa unaenda kwa Mkurugenzi!!!
Ulishasutwa kwa majungu wewe?Hapo si ndio utafukuzwa kazi au kufanyiwa fitna hadi kazi utaacha mwenyewe!
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Ndugu, serikalini upo utaratibu hadi wa kutoa taarifa kwa siri bila jina lako kujulikana. Huyo alikuwa anatafuta umaarufu, amekiuka kanuni za utumishi.Tofautisha kutoa taarifa na kufichua uovu.
Nabona kantuWakora weitu, wabonaki?
Umenena vema sana, logic nyuma yake ukiizingatia unadrop kila aina ya hasira unaona haina haja ya kujishtua saaaaaaaanaHata kutumia kwa ajili ya screening haitakiwi,na mjamzito akikutwa na malaria hatumii prophylaxis(SP),atatibiwa malaria kwa ALU au dawa nyingine
mimi siyo mtumishi habari na taratibu za utumishi hazinihusu. Mimi ni mlaji au mtumia huduma hivo kwangu mimi hiyo mifumo yako haisaidii. Alafu unadai sina akili nadhani wewe ndo hauna akili. Kwangu mimi aliyerekodi na kutuma video ni shujaa.Wewe ni mjinga sana,
akili zako ni madudu tupu,
kichwa umebeba kama mzigo tu!
Matatizo ya jamii zetu hayawezi kumalizwa kwa kurekodi na kupost kwenye mitandao, zamani kabla ya mitandao nini kilitatua matatizo?
Mifumo ya kiuongozi inapaswa kufuatwa kama mtumishi ana shida au vifaa au mazingira ya kazi zipo chain za kutatua mambo hayo sio kurekodi na kupost.
Kila mtu akiamua kurekodi changamoto za kila siku na kupost kwenye mitandao tutatazama video ngap kwa siku? Na serikali itahamia huku kujibu kila video.
Halafu unasema sijui wewe ni aghakhan, international bima na familia yako bla bla bla hakuna aliyekuuliza mzee, sisi ndio wale tumetibiwa na hayo mavifaa yalioexpire tangu tukiwa watoto na mpaka leo tunadunda!
Ushamba ni mzigo!
Punguani WA akili weweWewe ni mjinga sana,
akili zako ni madudu tupu,
kichwa umebeba kama mzigo tu!
Matatizo ya jamii zetu hayawezi kumalizwa kwa kurekodi na kupost kwenye mitandao, zamani kabla ya mitandao nini kilitatua matatizo?
Mifumo ya kiuongozi inapaswa kufuatwa kama mtumishi ana shida au vifaa au mazingira ya kazi zipo chain za kutatua mambo hayo sio kurekodi na kupost.
Kila mtu akiamua kurekodi changamoto za kila siku na kupost kwenye mitandao tutatazama video ngap kwa siku? Na serikali itahamia huku kujibu kila video.
Halafu unasema sijui wewe ni aghakhan, international bima na familia yako bla bla bla hakuna aliyekuuliza mzee, sisi ndio wale tumetibiwa na hayo mavifaa yalioexpire tangu tukiwa watoto na mpaka leo tunadunda!
Ushamba ni mzigo!
acha shobo sijakuquote!
hakuna aliyeuliza wewemimi siyo mtumishi habari na taratibu za utumishi hazinihusu. Mimi ni mlaji au mtumia huduma hivo kwangu mimi hiyo mifumo yako haisaidii. Alafu unadai sina akili nadhani wewe ndo hauna akili. Kwangu mimi aliyerekodi na kutuma video ni shujaa.
Ukiniuliza habari za zamani mimi sikuwepo hivo unapaswa kumwuliza bibi au babu yako hao ndo wa zamani.
Hili jambo lingekuwa halina maana serikali isingechukuwa hatua za haraka kama ilivyo fanya. Lakini pia bila kurekodi haya yasingefanyika. Na kumbuka haya yanawaathiri ninyi zaidi kuliko mimi, mimi siyo member wa NHIF na nina uwezo wa kutubiwa hospital yoyote kubwa nchi hii na nje ya nchi.
Wewe unayejiita una akili, akili gani kilaza tu wewe. Humudu hata kumnunua bodaboda bila kupanga foleni ya kupitisha fomu ya mkopo kwa mkuu wa idara. Bwege na huyo malaya wako aliyekuwa anaongea kwa nyodo akijinadi kuwapima wajawazito na vifaa vilivyoisha muda tayari amesimamishwa kazi!
Waelekeze kuna watu hawajui chochote kuhusu afya huko makazini af wanakuja kuongea vitu wasivojua
Unasema hujibu na umejibu, nakukumbusha mimi siyo mwalimu wa muundo na sarufi hivo kuandika naandika ili wewe usome na uelewe. Habari ya sarufi na muundo, pelekea watoto wenzio huko. Mpuuzi mmoja wewe. Chawa mmeathiriwa na tabia za kujipendekeza mpaka mnakera. Unanieleza kanuni za utumishi mimi zina nihusu nini? Narudia kusema mimi kinachonihusu hapo ni ujumbe uliobebwa na hiyo clip, kanuni zako peleka huko kwa machoko wenzio wasiojitambua kama wewe.hakuna aliyeuliza wewe
ni mtumishi au nani na pia,
sijibu huu upupu mimi.
Kajifunze kuandika kwanza kutibiwa sio "kutubiwa"
Kuna DMO kuna CHMT kuna RMO.Kama incharge nae ndo walewale je???
Si unasikia huyo nurse anamwamwimbia jamaa kama vipi akamwambie incharge... Vipi kama nurse na incharge wana collaboration in fake and bogus drugs treaty from mother country na agents kibao wapo humo noma[emoji23]
Uwe unaelewa basi. Vifaa vya maabara anakaa navyo Nesi?Unaweza kuta huyo dada kauza dawa ambazo hazija expire maabara za hospitali binafsi, hizo zilizo expire kapewa ku replace ili zisijulikane, kuna mengi ya kuchunguza hapo, kuanzia uongozi wa hosp na mwenendo mzima wa hospitali hiyo.
Hapo awajibishwe kuanzia In charge wa kituo Hadi Ummy na MSD.Sawa lakini lazima awepo mtu wa kuwajibika serikalini. Huu ni uuwaji.
Mtu ataambiwa hana malaria kumbe anayo.