Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Hivyo ni vipimo siyo dawa.Wajawazito ukawape dawa zilizo expire, vidada vikipataga network na ramani ya kupata pesa vinaona wadada wenzao kama mbwa vilee hata hafikirii kama nae atakuja kupata ujauzito au mgumba huyoo, anaboa vilee anaongea kwa kujiamini/ sheria ya kunyongwa iwekwe kwa watu kama hao
Kideo kilivyozagaa na Ummi kureact, alijitokeza boss wa hospitali hiyo na kueleza kuwa kutumia hivyo vipimo vya malaria vilivyokwisha muda wake lilikuwa ni agizo la uongozi ili "kuviokoa" vifaa hivyo kabla muda wake kitaalamu kufikia tamati kabisa.Yaani naona Mimi nimemuelewa nesi wa kike tofauti na wewe samàhani. Nionavyo kinachobishaniwa ni vifaa vilivyoisha Muda wake vitumike au visitumike? Maana Hakuna mbadala. Dada anashauri vilivyopo vitumike maana Hakuna namna, mwenzie anasema Mimi siwezi kutumia vilivyoisha Muda wake. Dada anauliza wewe ndo unajiona unajua zaidi ya walio juu? Maana ya swali hili ni kwamba kutokuwepo Kwa vifaa vipya kunajulikana na wakuu wao. Kwangu tatizo là binti ni lugha isiyo ya kistaarabu Kwa mwenzie, lakini aliyerekodi na kurusha mitandaoni sijui ana lengo gani? Nadhani aliona anamkomoa Huyo binti lakini sioni ukubwa wa kosa lake maana yeye ameombwa ushauri na kashauri tutumie kilichopo.
Ficha ujinga wakoHuyu anangoja nini kwenye ofisi ya umma? Hawa ndiyo wanaotukwamisha mbali na kudhalilisha elimu na nchi yetu
Nye nye nye maneno mengi kumbe pumba mnaleta siasa kwenye Afya ?Kwa hiyo kutokana na resources kuwa limited .
Kwa wachumi ni kawaida hapa duniani resources are scarce.
Pamoja na yote hayo haikubaliki kutumia expired kits kupimia afya ya binadamu.
Ndio maana kuna wataalamu wa uchumi na materials management kwenye kila sekta.
Acha kutetea ujinga na upumbavu.
Kwa taarifa yako mgt ya MSD ilichukuliwa hatua kutokana na mawazo kama yako ya kurundika madawa yaliyoexpire kwenye bohari.
Bado nashindwa kuelewa, kwa hiyo hata Kama zimeexpire bado huku bongo zinaweza kutumika? Ikiwa ni hivyo kwa nn waliotengeneza waliweka expire?
Nawe ficha ukumbaff wakoFicha ujinga wako
Nyie ndio mnaleta siasa kwenye afya za watu clip ipo wazi .Nye nye nye maneno mengi kumbe pumba mnaleta siasa kwenye Afya ?
Nilikwambiaje professional body itasmama na nan?
Ni upumbavu wanaleta siasa kwenye afya za wananchi.Bado nashindwa kuelewa, kwa hiyo hata Kama zimeexpire bado huku bongo zinaweza kutumika? Ikiwa ni hivyo kwa nn waliotengeneza waliweka expire?
Na serikalu inavyojua matanzania mengi ni mapumbavu na mazuzu wote wanaotetea matumizi ya expired kit. Serikalu imeenda nao sambamba eti nesi yupo sahihi.Ukisoma watu wanavyotoa mawazo yao hapa, utagundua kuwa Tanzania tuko na tunaelekea kubaya. Watu wanatetea kutumia vitu vilivyoisha muda wake waziwazi. Watu wanamkashifu aliyefichua maovu?
Si ndio hapo na Serikali ya chama cha ma mbuzi inawatumia wajinga wajinga hao kuhalalisha maudhaifu yaoBado nashindwa kuelewa, kwa hiyo hata Kama zimeexpire bado huku bongo zinaweza kutumika? Ikiwa ni hivyo kwa nn waliotengeneza waliweka expire?
Na wanaohudumiwa wanakufa hawaponiNyie ndio mnaleta siasa kwenye afya za watu clip ipo wazi .
Hapo kilichofanyika ni kuficha udhaifu wa serikali kwamba watu wanapewa huduma Kwa kutumia expired materials.
Serikali imejikosha ila ukweli unafahamika ndio maana kiongozi wengi hawatibiwi kwenye hospitali hizi