Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

Wajawazito ukawape dawa zilizo expire, vidada vikipataga network na ramani ya kupata pesa vinaona wadada wenzao kama mbwa vilee hata hafikirii kama nae atakuja kupata ujauzito au mgumba huyoo, anaboa vilee anaongea kwa kujiamini/ sheria ya kunyongwa iwekwe kwa watu kama hao
Hivyo ni vipimo siyo dawa.
Ama vipimo na dawa vipo kundi moja la dawa, mi si mtaalamu nisamee.
 
Yaani naona Mimi nimemuelewa nesi wa kike tofauti na wewe samàhani. Nionavyo kinachobishaniwa ni vifaa vilivyoisha Muda wake vitumike au visitumike? Maana Hakuna mbadala. Dada anashauri vilivyopo vitumike maana Hakuna namna, mwenzie anasema Mimi siwezi kutumia vilivyoisha Muda wake. Dada anauliza wewe ndo unajiona unajua zaidi ya walio juu? Maana ya swali hili ni kwamba kutokuwepo Kwa vifaa vipya kunajulikana na wakuu wao. Kwangu tatizo là binti ni lugha isiyo ya kistaarabu Kwa mwenzie, lakini aliyerekodi na kurusha mitandaoni sijui ana lengo gani? Nadhani aliona anamkomoa Huyo binti lakini sioni ukubwa wa kosa lake maana yeye ameombwa ushauri na kashauri tutumie kilichopo.
Kideo kilivyozagaa na Ummi kureact, alijitokeza boss wa hospitali hiyo na kueleza kuwa kutumia hivyo vipimo vya malaria vilivyokwisha muda wake lilikuwa ni agizo la uongozi ili "kuviokoa" vifaa hivyo kabla muda wake kitaalamu kufikia tamati kabisa.

Kitaalamu muda unaowekwa na mtengenezaji, huwa siyo kwamba vifaa ama dawa haziwezi kufanya kazi, kuna muda wa mbele kama miezi3 hadi 6 kufikia tamati kama sikosei.

Hao wote nesi na mmaabara walilijua agizo hilo kutokana na vikao vyao vya briefing vya utendaji kazi vya kila siku.

Kurekodiana huko kulikuwa na maana moja tu na ndicho kimepatikana walichotarajia kukipata, ingawa matokeo yamekuwa ndivyo sivyo kwa aliyerekodi.

Wote hawakutarajia dhoruba hili, ingawa katika mkanda huo, nesi wakati akitukana alikuwa akiangalia kwa makini eneo kilipokuwepo kifaa, ama aliona kabisa hiyo recoder ya simu lakini akaipuuzia.

Huyo mwanaume aliyerekodi alifanya kwa kumkomoa nesi, lakini naye kaingizwa kwenye msukosuko huo.
 
mnengene na wengine mlokua mnabishana na wataalam mnajiskiaje
Sheenz
FB_IMG_1673540922882.jpg
 
Kwa hiyo kutokana na resources kuwa limited .
Kwa wachumi ni kawaida hapa duniani resources are scarce.
Pamoja na yote hayo haikubaliki kutumia expired kits kupimia afya ya binadamu.
Ndio maana kuna wataalamu wa uchumi na materials management kwenye kila sekta.
Acha kutetea ujinga na upumbavu.
Kwa taarifa yako mgt ya MSD ilichukuliwa hatua kutokana na mawazo kama yako ya kurundika madawa yaliyoexpire kwenye bohari.
Nye nye nye maneno mengi kumbe pumba mnaleta siasa kwenye Afya ?
Nilikwambiaje professional body itasmama na nan?
 
Aliyemrekodi alishapewa kesi.. ameambiwa "alimtukana kwanza kabla ya kuanza kumrekodi" kazi anayo
 
Nye nye nye maneno mengi kumbe pumba mnaleta siasa kwenye Afya ?
Nilikwambiaje professional body itasmama na nan?
Nyie ndio mnaleta siasa kwenye afya za watu clip ipo wazi .
Hapo kilichofanyika ni kuficha udhaifu wa serikali kwamba watu wanapewa huduma Kwa kutumia expired materials.
Serikali imejikosha ila ukweli unafahamika ndio maana viongozi wengi hawatibiwi kwenye hospitali hizi
 
Bado nashindwa kuelewa, kwa hiyo hata Kama zimeexpire bado huku bongo zinaweza kutumika? Ikiwa ni hivyo kwa nn waliotengeneza waliweka expire?
Ni upumbavu wanaleta siasa kwenye afya za wananchi.
Kimsingi serikali imeshindwa kutoa huduma za afya Kwa wananchi na matokeo yake ndio kama hivi wanatumia nguvu nyingi na za aibu kuficha madhaifu
 
Ukisoma watu wanavyotoa mawazo yao hapa, utagundua kuwa Tanzania tuko na tunaelekea kubaya. Watu wanatetea kutumia vitu vilivyoisha muda wake waziwazi. Watu wanamkashifu aliyefichua maovu?
Na serikalu inavyojua matanzania mengi ni mapumbavu na mazuzu wote wanaotetea matumizi ya expired kit. Serikalu imeenda nao sambamba eti nesi yupo sahihi.
Kimsingi serikalu kupitia hiyo body imepotosha ukweli Kwa maslahi ya kisiasa
 
Bado nashindwa kuelewa, kwa hiyo hata Kama zimeexpire bado huku bongo zinaweza kutumika? Ikiwa ni hivyo kwa nn waliotengeneza waliweka expire?
Si ndio hapo na Serikali ya chama cha ma mbuzi inawatumia wajinga wajinga hao kuhalalisha maudhaifu yao
 
Nyie ndio mnaleta siasa kwenye afya za watu clip ipo wazi .
Hapo kilichofanyika ni kuficha udhaifu wa serikali kwamba watu wanapewa huduma Kwa kutumia expired materials.
Serikali imejikosha ila ukweli unafahamika ndio maana kiongozi wengi hawatibiwi kwenye hospitali hizi
Na wanaohudumiwa wanakufa hawaponi
 
Naona mteknolojia wamemchinjia baharin eti hakuna vifaa vilivyokwisha muda wake!! Bahati mbaya mteknolojia Hana sehemu Tena YA kutoa lamoyoni Zaidi YA kuwa mpole tu,

Usicheze Na serikali kabisa .
 
Back
Top Bottom