Kwa maana hiyo ni vitu viwili tofauti.Kuna inavotakiwa kua na inavofanyika
Anyway unajua kama uko vijijini it happens buffer zinaisha wanatumia maji ya mvua?
Sasa kwanini wamemrekodi.. issue unayoweza isha ndani ya offisi very briefly..Huyu ni Muhudumu wa Afya Tabora na Mtaalamu wa Maabara.
Washkakaji wanaonekana wanajua wanachokifanya ila mtumishi anajibu full jeuri.
Mamlaka ziangalie jambo hili
View attachment 2470582
Sio njia sahihi ya kufichua uovu... Wote wahuni hao..Ukisoma watu wanavyotoa mawazo yao hapa, utagundua kuwa Tanzania tuko na tunaelekea kubaya. Watu wanatetea kutumia vitu vilivyoisha muda wake waziwazi. Watu wanamkashifu aliyefichua maovu?
IshihimulwaKituo gani?
U are kidding,right?!!Aliyerekodi hiyo clip atajulikana vipi?
Unafanya kazi hospital gan??nisije nkawa nabishana na mwanafunzi mwaka wa piliUmesoma chuo gani Mkuu?
Una uelewa gani kuhusu kuexpire?
Kwa hiyo kutokana na resources kuwa limited .Mkuu kama una practice na unajua limited resources ungekua unaelewa otherwise unaongea kuchangamsha watu
Hii ni tafsiri yetu huku? Yaani muda wakuexpire umefika alafu tunaongeza miezi mitatu mbele?Zinakua na life time kama miez mitatu mbele na huwa inategemeana na hali ya mgonjwa malaria haipimwi kwa mrdt tu kuna blood smear pia
Itakuwa na uhakika gani exactly ni Nani aliyerekodi hapoU are kidding,right?!!
Mkuu tufunge huu mjadala haina haja ya kusema sana siri ya mtungi aijuae kata
Huyu dada ni Mtumishi wa Zahanati ya Ishishimulwa, Ipo Wilaya ya Uyui Mkoa Tabora.Huyu ni Muhudumu wa Afya Tabora na Mtaalamu wa Maabara.
Washkakaji wanaonekana wanajua wanachokifanya ila mtumishi anajibu full jeuri.
Mamlaka ziangalie jambo hili
View attachment 2470582
Unafanya kazi hospital gan??sitak kubishana na watu ambao hawajuj chochote hukusu afya na hawapo makaziniHii ni tafsiri yetu huku? Yaani muda wakuexpire umefika alafu tunaongeza miezi mitatu mbele?
Kwan tumeongelea madawa hapa???Kwa hiyo kutokana na resources kuwa limited .
Kwa wachumi ni kawaida hapa duniani resources are scarce.
Pamoja na yote hayo haikubaliki kutumia expired kits kupimia afya ya binadamu.
Ndio maana kuna wataalamu wa uchumi na materials management kwenye kila sekta.
Acha kutetea ujinga na upumbavu.
Kwa taarifa yako mgt ya MSD ilichukuliwa hatua kutokana na mawazo kama yako ya kurundika madawa yaliyoexpire kwenye bohari.
Inapaswa niwe nafanya kazi hospital ndio nitakua najua maana ya expired kits?Unafanya kazi hospital gan??sitak kubishana na watu ambao hawajuj chochote hukusu afya na hawapo makazini
Hahah bas kaa kwa kutulia kumbe hujui chochote na hutojua na ukiumwq hospital utakuja na tutakutibu na gono lako😂Inapaswa niwe nafanya kazi hospital ndio nitakua najua maana ya expired kits?
Waelekeze kuna watu hawajui chochote kuhusu afya huko makazini af wanakuja kuongea vitu wasivojuaHuyu mshkaji boya sna alieipost nahis ana sababu nyengine binafsi yakufanya hivo
Hayo mambo vituoni nikawaida mabishana ya maneno makali na kutaniana
Nchi yetu kweli choka mbaya. Na wewe pia unajiita ni binadamu aliyekamilika? Njia nzuri kabisa ta kumaliza uozo kama huu ni kuanika hadharani. Unadhani mtu mwenye kiburi kama hiki anajali wakuu wake?Ushamba sana
Unarekodi ya nini?
Upost ili apatwe na nin?
Matatizo yenu wasilisha kwa boss
Mnachosha!
Kwa sababu wewe unaona uzembe kazini ni kawaida, na kwa sababu wewe ni mzembe na mbishi, basi unataka kila mtu afumbie macho ujinga kama huu?Huyu mshkaji boya sna alieipost nahis ana sababu nyengine binafsi yakufanya hivo
Hayo mambo vituoni nikawaida mabishana ya maneno makali na kutaniana
Wewe ni mjinga nani kakuambia nipo huko ulipo? Kweli Africa ni bara la gizaHahah bas kaa kwa kutulia kumbe hujui chochote na hutojua na ukiumwq hospital utakuja na tutakutibu na gono lako[emoji23]