kamwendo
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 900
- 1,923
Kwa maana hiyo ni vitu viwili tofauti.Kuna inavotakiwa kua na inavofanyika
Anyway unajua kama uko vijijini it happens buffer zinaisha wanatumia maji ya mvua?
Ni utaratibu sahihi dhidi ya mazoea. Kwa vyovyote vile Hilo ni kosa iwe mjini au kijijini Kama zilishaisha muda wa matumizi basi hazifai kwa vyovyote.
Ndo maana kila bidhaa huwa na expired date, Ubora wa bidhaa,kifaa au dawa hupungua kadri muda unavyoenda. So majibu yatakayokuja hayawezi kuakisi matokeo ya kweli ya upimaji.
Tusiishi kwa mazoea, Tuishi uhalisia.