Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

Kuna inavotakiwa kua na inavofanyika

Anyway unajua kama uko vijijini it happens buffer zinaisha wanatumia maji ya mvua?
Kwa maana hiyo ni vitu viwili tofauti.

Ni utaratibu sahihi dhidi ya mazoea. Kwa vyovyote vile Hilo ni kosa iwe mjini au kijijini Kama zilishaisha muda wa matumizi basi hazifai kwa vyovyote.

Ndo maana kila bidhaa huwa na expired date, Ubora wa bidhaa,kifaa au dawa hupungua kadri muda unavyoenda. So majibu yatakayokuja hayawezi kuakisi matokeo ya kweli ya upimaji.

Tusiishi kwa mazoea, Tuishi uhalisia.
 
Huyu ni Muhudumu wa Afya Tabora na Mtaalamu wa Maabara.

Washkakaji wanaonekana wanajua wanachokifanya ila mtumishi anajibu full jeuri.

Mamlaka ziangalie jambo hili
View attachment 2470582
Sasa kwanini wamemrekodi.. issue unayoweza isha ndani ya offisi very briefly..

Alafu hao ni co-workers.. si sahihi kabisa.
Wote hawana maadili, aliyerekodi na aliyerekodiwa
 
Ukisoma watu wanavyotoa mawazo yao hapa, utagundua kuwa Tanzania tuko na tunaelekea kubaya. Watu wanatetea kutumia vitu vilivyoisha muda wake waziwazi. Watu wanamkashifu aliyefichua maovu?
Sio njia sahihi ya kufichua uovu... Wote wahuni hao..
 
Mkuu kama una practice na unajua limited resources ungekua unaelewa otherwise unaongea kuchangamsha watu
Kwa hiyo kutokana na resources kuwa limited .
Kwa wachumi ni kawaida hapa duniani resources are scarce.
Pamoja na yote hayo haikubaliki kutumia expired kits kupimia afya ya binadamu.
Ndio maana kuna wataalamu wa uchumi na materials management kwenye kila sekta.
Acha kutetea ujinga na upumbavu.
Kwa taarifa yako mgt ya MSD ilichukuliwa hatua kutokana na mawazo kama yako ya kurundika madawa yaliyoexpire kwenye bohari.
 
Huyu ni Muhudumu wa Afya Tabora na Mtaalamu wa Maabara.

Washkakaji wanaonekana wanajua wanachokifanya ila mtumishi anajibu full jeuri.

Mamlaka ziangalie jambo hili
View attachment 2470582
Huyu dada ni Mtumishi wa Zahanati ya Ishishimulwa, Ipo Wilaya ya Uyui Mkoa Tabora.

Tayari Mamlaka ziko Kituoni muda huu kulifanyia kazi hili swala.

Nadhani itakuwa fundisho kwa wengine.
 
Kwa hiyo kutokana na resources kuwa limited .
Kwa wachumi ni kawaida hapa duniani resources are scarce.
Pamoja na yote hayo haikubaliki kutumia expired kits kupimia afya ya binadamu.
Ndio maana kuna wataalamu wa uchumi na materials management kwenye kila sekta.
Acha kutetea ujinga na upumbavu.
Kwa taarifa yako mgt ya MSD ilichukuliwa hatua kutokana na mawazo kama yako ya kurundika madawa yaliyoexpire kwenye bohari.
Kwan tumeongelea madawa hapa???
 
Huyu mshkaji boya sna alieipost nahis ana sababu nyengine binafsi yakufanya hivo

Hayo mambo vituoni nikawaida mabishana ya maneno makali na kutaniana
Waelekeze kuna watu hawajui chochote kuhusu afya huko makazini af wanakuja kuongea vitu wasivojua
 
Back
Top Bottom