Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

Yeah ndo mana akamwambia azitumie kwa mama wajawazito sababu anajua watawapa SP (Ile ni screening tu) iwe isiwe watapewa prophylaxis SP
Kitu kikiisha muda wake kiteketezwe.
Kutumia kupima ugonjwa ni upotevu wa muda na kumsumbua mgonjwa.
Hilo kosa la jinai kabisa, maabara au hospital binafsi wangekutwa wanatumia vipimo hivyo wangafutiwa lesseni ya kutoa huduma na pengine watu wangefungwa.
Ni ujinga kulindana kwenye mambo ya afya za watu, jambo hatari sana.
 
Ni makosa lakini sisi tunajua mambo yanavoenda
Hizo kit wameacha kuzitumia kama diagnostic ila wanatumia kwa ajili ya screening (mama wajawazito iwe ana malaria au hana atapewa prophylaxis)
Bado nashindwa kuelewa, kwa hiyo hata Kama zimeexpire bado huku bongo zinaweza kutumika? Ikiwa ni hivyo kwa nn waliotengeneza waliweka expire?
 
Ila wafanyakazi wa idara za afya na elimu sijui kwanini wanapenda kuishi kwa fitina na majungu sana?! kama hujawahi kuona au hujui nini maana ya fitina na majungu ingia kwenye idara hizi ndio utaelewa.
 
Ni makosa lakini sisi tunajua mambo yanavoenda
Hizo kit wameacha kuzitumia kama diagnostic ila wanatumia kwa ajili ya screening (mama wajawazito iwe ana malaria au hana atapewa prophylaxis)
Hata kutumia kwa ajili ya screening haitakiwi,na mjamzito akikutwa na malaria hatumii prophylaxis(SP),atatibiwa malaria kwa ALU au dawa nyingine
 
Huyu ni Muhudumu wa Afya Tabora na Mtaalamu wa Maabara.

Washkakaji wanaonekana wanajua wanachokifanya ila mtumishi anajibu full jeuri.

Mamlaka ziangalie jambo hili
View attachment 2470582
Aliemrekodi kafanya kosa la kimaadili.
Sitetei lugha yake Ila mpaka ana mrekodi Kuna mambo nyuma ya pazia,
Km ushahidi kulikua na zaidi ya mtu mmoja. Angekwenda kwa inchaji.
Lengo la kaka ni kumharibia huyo dada.
Km Mimi ndo nasimamia nidhami wote nawapa adhabu sawa yaani onyo Kali au pamoja na kuwahamisha wote wawili .
Inawezekana pia alimpandisha jazba ili amrekodi.
Pia Kuna utaratibu wa kutoa taarifa au malalamiko kwa. Maandishi na kwa mdomo.
Pia Kuna bodi za kitaalamu
 
Back
Top Bottom