Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Watanzania tumeshindikana hadi makosa tunaona ni kawaida.Uyo jamaa ni nyoka aisee
Shit izo kutemeana vituon ni casual
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania tumeshindikana hadi makosa tunaona ni kawaida.Uyo jamaa ni nyoka aisee
Shit izo kutemeana vituon ni casual
Ushamba sana
Unarekodi ya nini?
Upost ili apatwe na nin?
Matatizo yenu wasilisha kwa boss
Mnachosha!
Yah hapo kulikuwa na beef maana sio rahisi kurekodi mfanyakazi mwenzako na kumrusha.Hapo issue wala sio izo expired kit issue ni beef kati ya uyo nurse na huyo mtaalam wa maabara mzee
Huyu ni Muhudumu wa Afya Tabora na Mtaalamu wa Maabara.
Washkakaji wanaonekana wanajua wanachokifanya ila mtumishi anajibu full jeuri.
Mamlaka ziangalie jambo hili
View attachment 2470582
Kitu kikiisha muda wake kiteketezwe.Yeah ndo mana akamwambia azitumie kwa mama wajawazito sababu anajua watawapa SP (Ile ni screening tu) iwe isiwe watapewa prophylaxis SP
Au ufahamu tumepishana .kwamba apandishwe cheo? Umeelewa alichokua anazungumza??Huyu dada atapandishwa cheo.Aliyemrekodi atasomeshwa namba.ETHICS ETHICS ETHICs ethics
Kwa hiyo hapo kutaka kutumia vipimo vilivyoexpire kwa wagonjwa adhabu yake ni kuhamishwa?Ni kuhamishwa kituo cha kazi,,au kuonywa na mganga Mkuu wa Mkoa...
Lakini pia wangeweza onyana wao kwa wao.
Ndio inavyopaswa kuwa, vinginevyo tusiwe tunalalamika uzembe serikalini. Mara nyingi tumelalamika watu kufa sababu ya huduma mbovuWashavurugia watu maisha hao, hapo kuna watu watawajibika siku si nyingi.
Bado nashindwa kuelewa, kwa hiyo hata Kama zimeexpire bado huku bongo zinaweza kutumika? Ikiwa ni hivyo kwa nn waliotengeneza waliweka expire?Ni makosa lakini sisi tunajua mambo yanavoenda
Hizo kit wameacha kuzitumia kama diagnostic ila wanatumia kwa ajili ya screening (mama wajawazito iwe ana malaria au hana atapewa prophylaxis)
Hata kutumia kwa ajili ya screening haitakiwi,na mjamzito akikutwa na malaria hatumii prophylaxis(SP),atatibiwa malaria kwa ALU au dawa nyingineNi makosa lakini sisi tunajua mambo yanavoenda
Hizo kit wameacha kuzitumia kama diagnostic ila wanatumia kwa ajili ya screening (mama wajawazito iwe ana malaria au hana atapewa prophylaxis)
...Angalia Hata Watu wanavyomsema aliyeliweka hili hadharani, Badala ya kumsema yule Nurse anayetumia Dawa Zilizoexpire Kwa Mama Zetu Wajawazito!Watanzania tumeshindikana hadi makosa tunaona ni kawaida TU!.
Aliemrekodi kafanya kosa la kimaadili.Huyu ni Muhudumu wa Afya Tabora na Mtaalamu wa Maabara.
Washkakaji wanaonekana wanajua wanachokifanya ila mtumishi anajibu full jeuri.
Mamlaka ziangalie jambo hili
View attachment 2470582
Wenzetu mmesoma vyuo gani?Zinakua na life time kama miez mitatu mbele na huwa inategemeana na hali ya mgonjwa malaria haipimwi kwa mrdt tu kuna blood smear pia
CUBAWenzetu mmesoma vyuo gani?
Umesoma chuo gani Mkuu?Aliyerecord apo ndo ana msala kwa tunaojua mambo ya afya hizo mrdt zikiexpire huwa kuna miez mitatu mbele huwa zinatumika sasa inategemeana kwa ambao hamjui kaeni kimya
Aliyerekodi hiyo clip atajulikana vipi?Huyu dada atapandishwa cheo.Aliyemrekodi atasomeshwa namba.ETHICS ETHICS ETHICs ethics