Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

Hatufanyi siasa hapa
Ingawa ni makosa ila sio namna kama nyie layman mnavoona huyo atajieleza tu kwa barua
Atafukuzwa kwenye magazeti kuua soo
Alafu atahamishwa kituo
Hunijui wala sitaki kukujua ila Kwa taarifa yako Mimi sio layman
Hatufanyi siasa hapa
Ingawa ni makosa ila sio namna kama nyie layman mnavoona huyo atajieleza tu kwa barua
Atafukuzwa kwenye magazeti kuua soo
Alafu atahamishwa kituo
Wewe utakuwa mtaalamu wa tiba wa hovyo sana kutetea upuudhi wa huyo Dada.
Kimsingi dawa ikiexpire inatakiwa iwe disposed.
Kwa hiyo mkuu wewe unaweza kwenda hospitali ukalipia matobabu halafu ukapewa huduma kupitia vifaa vilivyoexpire? Embu nijibu wewe binafsi utakubali ulipie huduma halafu upatiwe Kwa vifaa vilivyoexpire?
 
Inawezekana ulikuwa mtego,ili kumkomesha kwa lugha zake mbovu kazini, ila Sasa nadhani aliyekuwa anaongea, aliyerecord wote wataonja kaa la moto
Hivi ishahidi wa kuwa umejibiwa vibaya unaupataje?
 
Wewe ni mjinga nani kakuambia nipo huko ulipo? Kweli Africa ni bara la giza
Kuna mijitu mijinga kweli haujui hata kutumia mitandao.
Mtu anatumia anonymous ID halafu eti ananiita eti ni layman. Wala hanijui na haitatokea anijue na wala hajui naishi wapi
Tutumie reasoning and rational thinking kitu kikiexpire kinatakiwa kuwadisposed off
 
We naye mweupe mno kichwani....hueleewi mambo ya mitandao yalivyorahisishwa? Huyo aliyerekodi labda ajiue..lakini ni kitendo cha dakika chache atajulikana
Inawezekana aliyerekodi asijulikane. Hao waliorekodiwa inawezekana walikuwa hawajui kama wanarekodiwa.
Kwamba ni kawaida yao kuwa na mazungumzo kama hayo.
Unaweza ukarekodi kitu na kikarushwa hewani na mtu mwingine wa mbali huko Kwa kutumia deep web, nakwambia huwezi kumtambua.
 
Pole...uko nyuma mno
 
Kuna mijitu mijinga kweli haujui hata kutumia mitandao.
Mtu anatumia anonymous ID halafu eti ananiita eti ni layman. Wala hanijui na haitatokea anijue na wala hajui naishi wapi
Tutumie reasoning and rational thinking kitu kikiexpire kinatakiwa kuwadisposed off
Upo sahihi
 
Back
Top Bottom