evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Hunijui wala sitaki kukujua ila Kwa taarifa yako Mimi sio laymanHatufanyi siasa hapa
Ingawa ni makosa ila sio namna kama nyie layman mnavoona huyo atajieleza tu kwa barua
Atafukuzwa kwenye magazeti kuua soo
Alafu atahamishwa kituo
Wewe utakuwa mtaalamu wa tiba wa hovyo sana kutetea upuudhi wa huyo Dada.Hatufanyi siasa hapa
Ingawa ni makosa ila sio namna kama nyie layman mnavoona huyo atajieleza tu kwa barua
Atafukuzwa kwenye magazeti kuua soo
Alafu atahamishwa kituo
Kimsingi dawa ikiexpire inatakiwa iwe disposed.
Kwa hiyo mkuu wewe unaweza kwenda hospitali ukalipia matobabu halafu ukapewa huduma kupitia vifaa vilivyoexpire? Embu nijibu wewe binafsi utakubali ulipie huduma halafu upatiwe Kwa vifaa vilivyoexpire?