ThisisDenis
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 162
- 139
Nashindwa kuelewa kabisa hali hii, Ndugu zangu hii hali naona sio nzuri kabisa kuna mahala sijui ni uoga wa majukumu au usimamizi, wafanyakazi wengi wanajisahau kabisa, mimi napenda kusema tumsamehe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kutetea ujinga nyie ndio mlipata division 4 inakaribia na F mkajibandika kwenye field za afya mkasoma vimisamiati vya biology namajina ya dawa ndio mnakuja hapa kusumbua, huyo dada kakosea, it doesnt matter ni kipimo au dawa kama ime expire haipaswi kwa matumizi, acha ujuaji wa kijinga.Unahisi kua layman ni offense?
Yani umechukulia hilo suala kitofauti mimi naweza nsitumie hio kit na nkakutibu vizuri
Assume sasa mkeo amekuja hospital ana umwa (clinically tu ana malaria ) kit zmeexpire Sina means ya kufanya BS na option nyingine nahitaji kumtibu mkeo namwambia ana malaria namwandikia dawa bila kumpima
Unajua akirud home atakwambiaje?
Yani Ile hospital hovyo et Dr ananambia nna malaria na wala hajanitoboa ameniangalia angalia tu machoni mdomoni kanisikiliza kabiandikia dawa
Mimi sinywi hizi dawa
Amevuka msitari wa ku expose maovu?Mkuu,kwa ninavyofahamu ,aliyemrekodi amevuka mstari alipoipost hii video hapa.Hawa wote ni watumishi wa umma
Kama watumishi wote wa afya wana akili kama zako basi sekta hii imejaa wapumbavu ambao hawakustahili hata kuwa ma housegirls .Aliemrekodi kafanya kosa la kimaadili.
Sitetei lugha yake Ila mpaka ana mrekodi Kuna mambo nyuma ya pazia,
Km ushahidi kulikua na zaidi ya mtu mmoja. Angekwenda kwa inchaji.
Lengo la kaka ni kumharibia huyo dada.
Km Mimi ndo nasimamia nidhami wote nawapa adhabu sawa yaani onyo Kali au pamoja na kuwahamisha wote wawili .
Inawezekana pia alimpandisha jazba ili amrekodi.
Pia Kuna utaratibu wa kutoa taarifa au malalamiko kwa. Maandishi na kwa mdomo.
Pia Kuna bodi za kitaalamu
Mkuu nahisi kada ya afya ina matatizo makubwa hasa hasa kwa hawa ma nurse walipata taaluma hiyo kwa D mbili. Mtu akishakua nurse unakuta anajiita doctor na analazimisha mambo aliyoya kariri yawe ndo last say.Kuna mijitu mijinga kweli haujui hata kutumia mitandao.
Mtu anatumia anonymous ID halafu eti ananiita eti ni layman. Wala hanijui na haitatokea anijue na wala hajui naishi wapi
Tutumie reasoning and rational thinking kitu kikiexpire kinatakiwa kuwadisposed off
Nyie watu mnazingua sana ndo maana wanasiasa wakiumwa wanaenda kutibiwa nje wanajua humu ndani kuna wataalam wa hovyo.Mwalimu wa tuisheni wewe wa mwsho kujibu ila hao wataalam wanajua wanalolifanya kutumia kit ambayo imepita muda haitakufanya ukose huduma au ufe
Comment yako sijaielewaHivi ishahidi wa kuwa umejibiwa vibaya unaupataje?
Kwahiyo how smart are our health technicians kujua mipaka ya upenyo huu unaouzungumzia.Je kesho akinipa dawa ime expire je nitapona au sitapona?madhara yake yanaweza kuwa makubwa au kinyume chake?Hivyo katika upenyo huu wa vitu visivyofaa kufaa kiaina(...), je wizara ina muongozo ili kusije kuwa na mwanya wa ku abuse hako kaupenyo??Mwalimu wa tuisheni wewe wa mwsho kujibu ila hao wataalam wanajua wanalolifanya kutumia kit ambayo imepita muda haitakufanya ukose huduma au ufe
Hiyo sio fitina, huyo mdada inaelekea anamahusiano flan na bosi, kwamba hata akilipotiwa ni kaz bure. Mleta mada kafanya lililobora na kaokoa vifo vijavyo. Kazi kwa wahusika kumshughulikia huyo mkosaji. Kama njia sahihi inashindikana kutatua tatizo, kwa maslahi ya Taifa inaruhusiwa kutumia njia hii.Ila wafanyakazi wa idara za afya na elimu sijui kwanini wanapenda kuishi kwa fitina na majungu sana?! kama hujawahi kuona au hujui nini maana ya fitina na majungu ingia kwenye idara hizi ndio utaelewa.
Kabisa huyo jamaa ni boya sana na ni mjingaUshamba sana
Unarekodi ya nini?
Upost ili apatwe na nin?
Matatizo yenu wasilisha kwa boss
Mnachosha!
Ushamba sana
Unarekodi ya nini?
Upost ili apatwe na nin?
Matatizo yenu wasilisha kwa boss
Mnacho
Mi nadhani mshamba ni wewe, huyo aliyerekodi hilo siyo tatizo lake make alikuwa na uwezo wa kuzitumia MRDT zilizoisha muda wa matumizi kama alivoelekezwa na huyo dada. Lakini yeye akaona haiwezi kufanya hivo na amkeusaidia wewe unapoenda kwenye vituo vya afya vya serikali kaambiwa huna malaria tafakari. Jiulize mara mbili mbili. Lakini kwa kasumba zenu za kishabiki mnaona snitch lakini atakuwa ameokoa maisha ya akina mama wajawazito wengi.Ushamba sana
Unarekodi ya nini?
Upost ili apatwe na nin?
Matatizo yenu wasilisha kwa boss
Mnachosha!
Kweli kabisa kila siku wanalalamika hospitali kuna madudu yanagharimu maisha ya watu lakini mtu anapojitoa kuyaexpose basi wanamwita mchawi.Mi nadhani mshamba ni wewe, huyo aliyerekodi hilo siyo tatizo lake make alikuwa na uwezo wa kuzitumia MRDT zilizoisha muda wa matumizi kama alivoelekezwa na huyo dada. Lakini yeye akaona haiwezi kufanya hivo na amkeusaidia wewe unapoenda kwenye vituo vya afya vya serikali kaambiwa huna malaria tafakari. Jiulize mara mbili mbili. Lakini kwa kasumba zenu za kishabiki mnaona snitch lakini atakuwa ameokoa maisha ya akina mama wajawazito wengi.
Yawezekana hizi zilizoexpire wanazipata kwenye maduka yao ya kuuza dawa na zile nzuri za serikali wanarudisha madukani kwao ili wapige pesa.
Wengi mnaoshabikia humu ndo wale mna vibima vyenu vya NHIF ambao hammudu kulipa elfu 60 au 30 kumwona Dakitari kwenye hosp za binafsi.
Nahitimisha mshamba ni wewe ambaye uanaamini ujanja ni kufumbia macho maovu, ili jambo litakuwa kubwa sana kama huyo dada anatembea na bosi wake ili amlinde kwa kuuzia wagonjwa vifaa feki, ili litafukunyuliwa mpaka ijuilikane mara ya mwisho lini aliagiza hizo MRDT na zilituma vipi, zilikuwa lot number gani, kutoka bohari gani.
Usalama wao iwe ni deal mpaka ya RMO na watu board huko na Ummy aamue kufumba macho.
Duh.0713