Tabora: Mwanajeshi mstaafu na Mke wa Mtu wakutwa wamefariki Chumbani

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mwanajeshi Mstaafu Petro Masali amekutwa amefariki dunia yeye na mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la Marrysiana Edward, wakiwa katika hali ya faragha kwenye moja ya chumba cha nyumba ya aliyekuwa mwanajeshi huyo, katika Kata ya Ipuli Manisipaa ya Tabora.

Tukio hilo limetokea ikiwa ni siku moja baada ya mwanamke huyo kuondoka nyumbani kwa mume wake tangu Novemba 4, mwaka huu bila kuaga na kushindwa kurejea.
 
View attachment 3170669
Chumba kilikuwa kinatumika kama store na hakina madirisha! Mwanaume ni mwanajeshi mstaafu! Tusitafutane uchawi! Mjeda kampelekea moto katika mazingira ambapo hakuna oxygen ya kutosha lazima nyote mkate moto! Mazingira yalikuwa sio rafiki kwa mjeda kupeleka moto! Aaaaah! Ona sasa!
 
Mwanajeshi Mstaafu Petro Masali amekutwa amefariki dunia yeye na mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la Marrysiana Edward, wakiwa katika hali ya faragha kwenye moja ya chumba cha nyumba ya aliyekuwa mwanajeshi huyo, katika Kata ya Ipuli Manisipaa ya Tabora.

Tukio hilo limetokea ikiwa ni siku moja baada ya mwanamke huyo kuondoka nyumbani kwa mume wake tangu Novemba 4, mwaka huu bila kuaga na kushindwa kurejea.
View attachment 3170669
Chumba hakikuwa na dirisha!!

Mbona wengine wanakesha kwenye vyumba vyenye tight glass windows wanatoka wazima, labda sababu iwe ni pombe njaa na uchovu
 
Back
Top Bottom