Tabora: Mwanajeshi mstaafu na Mke wa Mtu wakutwa wamefariki Chumbani

Tabora: Mwanajeshi mstaafu na Mke wa Mtu wakutwa wamefariki Chumbani

Chumba hakikuwa na dirisha!!

Mbona wengine wanakesha kwenye vyumba vyenye tight glass windows wanatoka wazima, labda sababu iwe ni pombe njaa na uchovu
Wamepigana dudu mpaka wamekata upepo jamaa alimix nini hicho wamkague vizuri isije ikawa mkongo kamix na supershafty mixer maji ya betri
 
Mwanajeshi Mstaafu Petro Masali amekutwa amefariki dunia yeye na mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la Marrysiana Edward, wakiwa katika hali ya faragha kwenye moja ya chumba cha nyumba ya aliyekuwa mwanajeshi huyo, katika Kata ya Ipuli Manisipaa ya Tabora.

Tukio hilo limetokea ikiwa ni siku moja baada ya mwanamke huyo kuondoka nyumbani kwa mume wake tangu Novemba 4, mwaka huu bila kuaga na kushindwa kurejea.
View attachment 3170669
Afande ameupiga mwingi,kazi yake iendelezwe.
 
Back
Top Bottom