Tabora: Mwanajeshi mstaafu na Mke wa Mtu wakutwa wamefariki Chumbani

Tabora: Mwanajeshi mstaafu na Mke wa Mtu wakutwa wamefariki Chumbani

Inasemekana mjeda alikufa akiwa ameroweka mshedede wake. Kiuhalisia wanyamwezi ni wazuri sana ktk mambo ya ushirikina.
 
Ndo kafa sasa kwa jeuri na dharau Kwa mumewe matokeo yake kayaona
Matokeo yake hana hasara nayo, waliobaki ndio wataumia..!!

Ingemuumiza km angefumaniwa kisha mwanaume aliyekuwa anazini naye amekufa yeye akabaki mzima.!

Kwa kuwa wote binadamu wote tunakufa haimuathiri popote
 
Mwanajeshi Mstaafu Petro Masali amekutwa amefariki dunia yeye na mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la Marrysiana Edward, wakiwa katika hali ya faragha kwenye moja ya chumba cha nyumba ya aliyekuwa mwanajeshi huyo, katika Kata ya Ipuli Manisipaa ya Tabora.

Tukio hilo limetokea ikiwa ni siku moja baada ya mwanamke huyo kuondoka nyumbani kwa mume wake tangu Novemba 4, mwaka huu bila kuaga na kushindwa kurejea.
View attachment 3170669

View: https://www.facebook.com/reel/1143048817442369
 
Back
Top Bottom