Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kifo ni kifo tuuhKifo cha aibu😔💔
Kifo cha kishujaaKifo cha aibu😔💔
Chumba kilikuwa kinatumika kama store na hakina madirisha! Mwanaume ni mwanajeshi mstaafu! Tusitafutane uchawi! Mjeda kampelekea moto katika mazingira ambapo hakuna oxygen ya kutosha lazima nyote mkate moto! Mazingira yalikuwa sio rafiki kwa mjeda kupeleka moto! Aaaaah! Ona sasa!Mwanajeshi Mstaafu Petro Masali amekutwa amefariki dunia yeye na mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la Marrysiana Edward, wakiwa katika hali ya faragha kwenye moja ya chumba cha nyumba ya aliyekuwa mwanajeshi huyo, katika Kata ya Ipuli Manisipaa ya Tabora.
Tukio hilo limetokea ikiwa ni siku moja baada ya mwanamke huyo kuondoka nyumbani kwa mume wake tangu Novemba 4, mwaka huu bila kuaga na kushindwa kurejea.
View attachment 3170669
Chumba hakikuwa na dirisha!!Mwanajeshi Mstaafu Petro Masali amekutwa amefariki dunia yeye na mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la Marrysiana Edward, wakiwa katika hali ya faragha kwenye moja ya chumba cha nyumba ya aliyekuwa mwanajeshi huyo, katika Kata ya Ipuli Manisipaa ya Tabora.
Tukio hilo limetokea ikiwa ni siku moja baada ya mwanamke huyo kuondoka nyumbani kwa mume wake tangu Novemba 4, mwaka huu bila kuaga na kushindwa kurejea.
View attachment 3170669