Tabora: Mwanamke auawa, chanzo wivu wa mapenzi

Tabora: Mwanamke auawa, chanzo wivu wa mapenzi

Hakuna kiumbe chenye ndevu kikaitwa mrembo duniani,huyo hana tofauti na mwanaume na mwanaume asili yake inamkataza kuitwa mrembo.

Kama mwanamke ana ndevu ni sharti muda wote azinyoe zisionekane unless atakuwa mchafu
Hii ni according to Saint Anno II maana urembo ni machoni pa mtu. Unaweza tuwekea mrembo wako hapa tukaangua vicheko.
 
Kwishaaaa ...wazeee wa kataa ndoa point tatu muhmu tushachukua ...

Uko ndan ya ndoa mtauwana mpk tubaki mabachela mtaan wenyewe maana wauwaji watakuwa magerezan na wauliwaji watakuwa kaburini ,,shenzii kbs
Kwani wanaouana ni wanandoa tu? Kesi nyingi zipo za mauaji wengine si wanandoa.
 
Ndio nyie mnaobaka vitoto!
Umenipa cheo kikubwa sana nisichoomba kinifikie hata ndotoni.

Ukweli ni kwamba wanawake na ndevu ni vitu viwili tofauti kabisa that's why ukawekwa utaratibu wa kuzinyoa,sioni ni nini kinamfanya mwanamke aache ndevu hadi zijitengeneze alama ya O kama siyo uchafu!
 
Back
Top Bottom