Tabora: Mwanamke auawa, chanzo wivu wa mapenzi

Unamuonea wivu marehemu. Basi wewe kuwa mrembo yaishe.
 
Kwishaaaa ...wazeee wa kataa ndoa point tatu muhmu tushachukua ...

Uko ndan ya ndoa mtauwana mpk tubaki mabachela mtaan wenyewe maana wauwaji watakuwa magerezan na wauliwaji watakuwa kaburini ,,shenzii kbs
'Kataa ndoa', kwani hiyo ilikuwa ni ndoa?
 
Warembo wapo wengi hata Samia tukichikulia mfano mwepesi nae ni mrembo
Ofcourse. Ndo maana nikasema uhalisia wa urembo unategemeana na concept inayotafsiriwa na ubongo wa mhusika. Ukitamka neno mrembo, kuna mtu anamuwaza binti yake, mpenzi wake, rafiki yake na kuna mwingine atawaza tako na wote wapo sahihi kutegemeana na ni nini ubongo unatafsiri unaposikia neno mrembo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ