Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Hamna namnaImebidi mahakama iingilie kati No reforms No Election
Compromised judiciary and shyster judgesImebidi mahakama iingilie kati No reforms No Election
Mshapokea amri ya mahakama au bado?Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia jioni hii.
Kwamba Baada ya Tangazo la Shetani la kuzuia Shughuli za Chadema kwa Wiki 2, Watu wengi mno wakaamua Kujazana Tabora Mjini.
View attachment 3363462View attachment 3363463View attachment 3363464
Unalopaswa kujua ni hili miongoni mwa Waasisi wa kesi ya kuzuia shughuli za Chadema yumo anayeitwa Salum Mwalimu, Ambaye sasa ni Katibu Mkuu wa Chauma
Hatujaiona, lakini hatujali chochote.Mshapokea amri ya mahakama au bado?
Uchaguzi upo pale paleHii ndio Taarifa mpya iliyotufikia jioni hii.
Kwamba Baada ya Tangazo la Shetani la kuzuia Shughuli za Chadema kwa Wiki 2, Watu wengi mno wakaamua Kujazana Tabora Mjini.
View attachment 3363462View attachment 3363463View attachment 3363464
Unalopaswa kujua ni hili miongoni mwa Waasisi wa kesi ya kuzuia shughuli za Chadema yumo anayeitwa Salum Mwalimu, Ambaye sasa ni Katibu Mkuu wa Chauma
Uwezi shindana na nyakati na nguvu ya Mungu sio mda mtashangaa hasa kwa wale wanaotumiwa kuhujum Nguvu ya Mungu iliyo chadema , msije sema hatukuwambiaUchaguzi upo pale pale
Chama ambacho kila kukicha kutukana na kudhalilisha viongozi wa nchi hakiwezi kupata baraka kwa MunguUwezi shindana na nyakati na nguvu ya Mungu sio mda mtashangaa hasa kwa wale wanaotumiwa kuhujum Nguvu ya Mungu iliyo chadema , msije sema hatukuwambia
Kimetukana tusi lipi, kimemdhalilosha nani , mtakufa midomo wazi asema BwanaChama ambacho kila kukicha kutukana na kudhalilisha viongozi wa nchi hakiwezi kupata baraka kwa Mungu
chama kina idara ya sheria , mambo ya koti iachie kotiMshapokea amri ya mahakama au bado?
Niliwahi kusikia usemi unaomzungumzia "chura."Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia jioni hii.
Kwamba Baada ya Tangazo la Shetani la kuzuia Shughuli za Chadema kwa Wiki 2, Watu wengi mno wakaamua Kujazana Tabora Mjini.
View attachment 3363462View attachment 3363463View attachment 3363464
Unalopaswa kujua ni hili miongoni mwa Waasisi wa kesi ya kuzuia shughuli za Chadema yumo anayeitwa Salum Mwalimu, Ambaye sasa ni Katibu Mkuu wa Chauma
Kifo ni kifo tu.Usiogope kufaKimetukana tusi lipi, kimemdhalilosha nani , mtakufa midomo wazi asema Bwana