PreGE2025 Tabora: No Reforms No Election yafunga kazi, Wananchi wote wahudhuria, Wasema bila Reforms hakuna Uchaguzi

PreGE2025 Tabora: No Reforms No Election yafunga kazi, Wananchi wote wahudhuria, Wasema bila Reforms hakuna Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kadri zinavyoenda ndivyo kasi ya watu inazidi kufurika ni hakika kwamba ccm waanze kufungasha virago ikulu! Maana October kuna Tanzania mpya chini ya chadema! Ccm mwaka huu hawana chao!
Ni wakati hatarishi sana tuliomo sasa.
Samia Suluhu Hassan bado haamini kuwa kakataliwa na waTanzania; na GENGE lake bado linampa matumaini ya kubaki kwa kutumia njia haramu kabisa; ya kumwaga damu ya waTanzania.
 
Kifo cha CCM hakizuiliki,huu ujinga wa polisi sijui msajili,mahakama na wale walawiti na wabakaji hawatasaidia
 
Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia jioni hii.

Kwamba Baada ya Tangazo la Shetani la kuzuia Shughuli za Chadema kwa Wiki 2, Watu wengi mno wakaamua Kujazana Tabora Mjini.

View attachment 3363462View attachment 3363463View attachment 3363464

Unalopaswa kujua ni hili miongoni mwa Waasisi wa kesi ya kuzuia shughuli za Chadema yumo anayeitwa Salum Mwalimu, Ambaye sasa ni Katibu Mkuu wa Chauma
Misuko suko haijaanza jana wala leo, hata hao walafi wanaodhani ndio wamemaliza kazi ,watatumiwa kisha watatupwa
 
We
Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia jioni hii.

Kwamba Baada ya Tangazo la Shetani la kuzuia Shughuli za Chadema kwa Wiki 2, Watu wengi mno wakaamua Kujazana Tabora Mjini.

View attachment 3363462View attachment 3363463View attachment 3363464

Unalopaswa kujua ni hili miongoni mwa Waasisi wa kesi ya kuzuia shughuli za Chadema yumo anayeitwa Salum Mwalimu, Ambaye sasa ni Katibu Mkuu wa Chauma
We akili yako ina mavi, mnajitengenezea vipicha vyenu kwa AI, nakuonea huruma sijui utaishije hili dubwasha likifutika. Arusha yenyewe walifanyia mikutano kwenye corridor za nyumba, Tabora chadema ina wanachama wachache sana
 
Kifo cha CCM itategemea na chaguo lao kupeperusha bendera mwaka 2015 walipatia mno kwa kumchagua Magufuri alikuwa na nyota kali nchini vinginevyo kuanzia hapo ilikuwa mmm
 
Kifo cha CCM itategemea na chaguo lao kupeperusha bendera mwaka 2015 walipatia mno kwa kumchagua Magufuri alikuwa na nyota kali nchini vinginevyo kuanzia hapo ilikuwa mmm

..kwa Magufuli Ccm walichangua mgombea anayezungumza lugha ya wapinzani ya kuleta mabadiliko.

..Na wapinzani nao walifanya kosa la ufundi kumsimamisha Lowassa ambaye alikuwa na makandokando ya ufisadi.

..Tatizo ninaloliona sasa hivi ni kwamba hoja " inayobamba " ni mabadiliko, lakini Mama na Ccm wenzake wamekosa namna ya kuwapokonya wapinzani hoja hiyo.

..Nguvu kubwa, na ukatili wa ajabu, umeelekezwa kwa Chadema lakini bado hawajakata tamaa. Na umma umeanza kuwaelewa na kuwaunga mkono.

..NRNE ya wakati wa Tundu Lissu ni tofauti kabisa na hii ya John Heche. Na nina wasiwasi Lissu akitoka moto unaweza kuwa mkali zaidi.
 
Back
Top Bottom