PreGE2025 Tabora: No Reforms No Election yafunga kazi, Wananchi wote wahudhuria, Wasema bila Reforms hakuna Uchaguzi

PreGE2025 Tabora: No Reforms No Election yafunga kazi, Wananchi wote wahudhuria, Wasema bila Reforms hakuna Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tatizo ninaloliona sasa hivi ni kwamba hoja " inayobamba " ni mabadiliko, lakini Mama na Ccm wenzake wamekosa namna ya kuwapokonya wapinzani hoja hiyo.

..Nguvu kubwa, na ukatili wa ajabu, umeelekezwa kwa Chadema lakini bado hawajakata tamaa. Na umma umeanza kuwaelewa na kuwaunga mkono.
Kitendo cha Umma kuibeba hii Hoja kimewapa kiwewe
 
Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia jioni hii.

Kwamba Baada ya Tangazo la Shetani la kuzuia Shughuli za Chadema kwa Wiki 2, Watu wengi mno wakaamua Kujazana Tabora Mjini.

View attachment 3363462View attachment 3363463View attachment 3363464

Unalopaswa kujua ni hili miongoni mwa Waasisi wa kesi ya kuzuia shughuli za Chadema yumo anayeitwa Salum Mwalimu, Ambaye sasa ni Katibu Mkuu wa Chauma
Hawa mbweha wasingemuweka Lisu jela sasa hivi wangekuwa wanajiharishia
 
NRNE imebamba bila kutangazwa na chomcho cha redio, tv wala magazeti.

Ni jitihada za wanachama na wananchi.

..Mama Samia amedanganywa akaachana na 4R.

..angezisimamia kwelikweli wapinzani wangekosa hoja za kumshambulia.
 
John Heche ni hatari sana ata zaidi ya Lissu.
..kwa Magufuli Ccm walichangua mgombea anayezungumza lugha ya wapinzani ya kuleta mabadiliko.

..Na wapinzani nao walifanya kosa la ufundi kumsimamisha Lowassa ambaye alikuwa na makandokando ya ufisadi.

..Tatizo ninaloliona sasa hivi ni kwamba hoja " inayobamba " ni mabadiliko, lakini Mama na Ccm wenzake wamekosa namna ya kuwapokonya wapinzani hoja hiyo.

..Nguvu kubwa, na ukatili wa ajabu, umeelekezwa kwa Chadema lakini bado hawajakata tamaa. Na umma umeanza kuwaelewa na kuwaunga mkono.

..NRNE ya wakati wa Tundu Lissu ni tofauti kabisa na hii ya John Heche. Na nina wasiwasi Lissu akitoka moto unaweza kuwa mkali zaidi.
 
Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia jioni hii.

Kwamba Baada ya Tangazo la Shetani la kuzuia Shughuli za Chadema kwa Wiki 2, Watu wengi mno wakaamua Kujazana Tabora Mjini.

View attachment 3363462View attachment 3363463View attachment 3363464

Unalopaswa kujua ni hili miongoni mwa Waasisi wa kesi ya kuzuia shughuli za Chadema yumo anayeitwa Salum Mwalimu, Ambaye sasa ni Katibu Mkuu wa Chauma
Mungu ibariki CHADEMA
 
Heche toka yuko bungeni 2015 mpaka 2020 alikuwa anajenga hoja imara sana. Ujue wengi wamemfahamu baada ya kuwa makamu mwenyekiti wa CHADEMA, ila huyo mwamba kwa sisi tunao mfahamu toka kitambo tunajua nini anafanya.
..Mwalimu John Heche anajifunza.

..huenda jukumu la kuongoza chama wakati mwenyekiti yuko mahabusu limemlazimisha ajifunze haraka zaidi.
 
Back
Top Bottom