Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Kitendo cha Umma kuibeba hii Hoja kimewapa kiweweTatizo ninaloliona sasa hivi ni kwamba hoja " inayobamba " ni mabadiliko, lakini Mama na Ccm wenzake wamekosa namna ya kuwapokonya wapinzani hoja hiyo.
..Nguvu kubwa, na ukatili wa ajabu, umeelekezwa kwa Chadema lakini bado hawajakata tamaa. Na umma umeanza kuwaelewa na kuwaunga mkono.
NRNE imebamba bila kutangazwa na chomcho cha redio, tv wala magazeti.Kutokuwa live hakupunguzi dhana nzima na NRNE.
Alisikika Edward Lowassa akisema "haya sio mapenzi tu, ni Mahaba"Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia jioni hii.
Kwamba Baada ya Tangazo la Shetani la kuzuia Shughuli za Chadema kwa Wiki 2, Watu wengi mno wakaamua Kujazana Tabora Mjini.
View attachment 3363462View attachment 3363463View attachment 3363464
Unalopaswa kujua ni hili miongoni mwa Waasisi wa kesi ya kuzuia shughuli za Chadema yumo anayeitwa Salum Mwalimu, Ambaye sasa ni Katibu Mkuu wa Chauma
HaswaaaAlisikika Edward Lowassa akisema "haya sio mapenzi, ni Mahaba"
Mbona wamefanyia mkutano Msituni.Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia jioni hii.
Kwamba Baada ya Tangazo la Shetani la kuzuia Shughuli za Chadema kwa Wiki 2, Watu wengi mno wakaamua Kujazana Tabora Mjini.
View attachment 3363462View attachment 3363463View attachment 3363464
Unalopaswa kujua ni hili miongoni mwa Waasisi wa kesi ya kuzuia shughuli za Chadema yumo anayeitwa Salum Mwalimu, Ambaye sasa ni Katibu Mkuu wa Chauma
Hawa mbweha wasingemuweka Lisu jela sasa hivi wangekuwa wanajiharishiaHii ndio Taarifa mpya iliyotufikia jioni hii.
Kwamba Baada ya Tangazo la Shetani la kuzuia Shughuli za Chadema kwa Wiki 2, Watu wengi mno wakaamua Kujazana Tabora Mjini.
View attachment 3363462View attachment 3363463View attachment 3363464
Unalopaswa kujua ni hili miongoni mwa Waasisi wa kesi ya kuzuia shughuli za Chadema yumo anayeitwa Salum Mwalimu, Ambaye sasa ni Katibu Mkuu wa Chauma
Heheheh mkuu mbona unawatukana?Hawa mbweha wasingemuweka Lisu jela sasa hivi wangekuwa wanajiharishia
NRNE imebamba bila kutangazwa na chomcho cha redio, tv wala magazeti.
Ni jitihada za wanachama na wananchi.
..kwa Magufuli Ccm walichangua mgombea anayezungumza lugha ya wapinzani ya kuleta mabadiliko.
..Na wapinzani nao walifanya kosa la ufundi kumsimamisha Lowassa ambaye alikuwa na makandokando ya ufisadi.
..Tatizo ninaloliona sasa hivi ni kwamba hoja " inayobamba " ni mabadiliko, lakini Mama na Ccm wenzake wamekosa namna ya kuwapokonya wapinzani hoja hiyo.
..Nguvu kubwa, na ukatili wa ajabu, umeelekezwa kwa Chadema lakini bado hawajakata tamaa. Na umma umeanza kuwaelewa na kuwaunga mkono.
..NRNE ya wakati wa Tundu Lissu ni tofauti kabisa na hii ya John Heche. Na nina wasiwasi Lissu akitoka moto unaweza kuwa mkali zaidi.
Mungu ibariki CHADEMAHii ndio Taarifa mpya iliyotufikia jioni hii.
Kwamba Baada ya Tangazo la Shetani la kuzuia Shughuli za Chadema kwa Wiki 2, Watu wengi mno wakaamua Kujazana Tabora Mjini.
View attachment 3363462View attachment 3363463View attachment 3363464
Unalopaswa kujua ni hili miongoni mwa Waasisi wa kesi ya kuzuia shughuli za Chadema yumo anayeitwa Salum Mwalimu, Ambaye sasa ni Katibu Mkuu wa Chauma
Hata Mbunge wa Zamani wa Kilwa amekiri kuwa Upinzani ndio huu wa Lissu na Heche.John Heche ni hatari sana ata zaidi ya Lissu.
Hence RevealedHakika chadema ni mpango wa mungu
John Heche ni hatari sana ata zaidi ya Lissu.
Penye changamoto One's ability to change his mind per current facts...Mwalimu John Heche anajifunza.
..huenda jukumu la kuongoza chama wakati mwenyekiti yuko mahabusu limemlazimisha ajifunze haraka zaidi.
..Mwalimu John Heche anajifunza.