Ni kusaka taarifa za wanaotishia kujinyonga na kuwatia mbaroni.Hii kali ya mwaka mpya, unafanya doria ya mtaani kutafuta wanaotaka kujinyonga?
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππ Nusuhela yakikufika usijinyonge tafadhali.
Unajua kuna watu roho zao ni ndogo, mtu kaachwa na boyfriend au girlfriend yeye anakimbilia kujinyonga.mkuu unaweza shangaa ila hayajakufika aseeh, pale unajifikiria wewe tu sijui taifa, mtoto, baba, mama unaona hawana maana
Mkuu hayo ni matatizo ya kisaikolojia ni kama ugonjwa tu nao pia unahitaji tiba. Mtu anaye jiondoa uhai sio kwamba aliamka tu akifikiria kujiua ni kitu alichokuwa akijiambia mda mrefu kwa hiyo ikitokea sababu tu ni dk sifuri anajitundika bila kuwaza yote hayo.Inachekesha lakini inaumiza. Mtu unajinyongaje wakati taifa, familia, ndugu, wazazi wako wanakutegemea?
Hapo unakuta unasomesha watoto na wewe ndio mlipa ada halafu unajinyonga.
Umesoma chuo kwa kutumia mkopo wa serekali halafu unajinyonga.
Unadaiwa na watu, banks, nk halafu unajinyonga hayo madeni alipe nani.
Wewe ni mama wa familia, watoto bado ni wadogo halafu wewe unajinyonga ili walelewe na nani?