Tabora: RC Paulo Chacha amsimamisha kazi Meneja GPSA kwa kutukana wateja

Hivi MAYALA tuliambiwa maana yake nini tena?! πŸ˜„

Hapa Kimeumana! πŸ˜„ , km kweli ni pombe anapaswa ailaani! Iwe mwiko kwake Mayala! πŸ˜„

Ila hii ni fikra zangu tu! Sina mamlaka ya kumpangia! 🀣
Mayalla ya pombe imemponza Mayala.
 
  • Kama 'token' ya mafuta walikuwa nayo, na meneja alijulishwa awali, kwa kuwa si vituo vyote vinafanya kazi masaa 24; meneja alitakiwa amuachie maagizo aliyepo kwenye mafuta kuhusu lile hitaji la dharula; Kutokufanya hivyo taratibu za kinidhamu zinaweza chukuliwa.​
  • Kama hakukuwa na 'token', ila utashi ndio utumike kwenye kutoa mafuta, hapo mtumishi hana kosa.​
 
Watu wakilalamika kuwa kuna miungu watu , sasa tuelewe.
Jamaa anamvimbia hata Mkuu wa Mkoa under influence!
 
Msikilize,ukimaliza type mawazo Yako!
 

Attachments

  • VID-20250303-WA0027.mp4
    40.5 MB
 

Attachments

  • VID-20250303-WA0027.mp4
    40.5 MB
Huyu akipigwa chini akabaki jobless kwa miaka mitano, ukichaa wake utaisha (kama hajafa kwa depression)!
 
Sasa kama boss ndo cha pombe hivi?
Wa chini yake wana hali gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…