King Kisali
JF-Expert Member
- Nov 20, 2019
- 1,041
- 1,349
- Thread starter
- #21
Ilipozibwa barabara ni hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna delaying techniques zinafanya hapa, nafikiri mlungula unahusika, bado sisi wakazi wa hapa ni waungwana sana ila tumechoka ndio maana tunaweka hapa mtandaoni na wakubwa wajue kinachoendelea.Hakuna mgambo hapo wa kumkamata? mpelekeni polisi
Tabora ilikuwa ya aggrey mwanri Ilitakiwa hata ubunge agombee tabora, huyu aliyopo akafundishe chuoViongozi wa mkoa wa Tabora hebu kuweni wastaarabu hivi mnakaa ofisini kabisaaa confortable huku Kuna sintofahamu , Tena isiyo na sababu , watu kibali cha ujenzi hawana , usajili wa kanisa hawana , kibali cha kuendesha kanisa hawana , wanasumbua raia nyinyi mpo kweli ? Ndio kasi ya awamu ya tano hii ? Mbona hili suala liko wazi shule zikifelisha mtaanza kujiuliza sababu ? Hamjui kutoka hapo kwenda shule ya Msingi Itetemia na shule ya Westland haizidi mita mia ? Hamjui kwamba Westland primary school ni shule ya bweni ? Ratiba za bweni hamzijui za kujisomea prepo ? Hamjui kuwa raia hapo mtaani kuna wagonjwa , wazee , watoto wanaathirika na muziki mkubwa hata madaktari wanasema hayo ? Huyo mchungaji Jackson ana mfuko mpana kiasi gani kuwatia wote mfukoni ? Au ndio mpaka waziri wa ardhi aende ?
Mimi hapa naishi Chini ya spika ya msikiti nimeshalalamika sana nimeambiwa hamaSoma documents hapo juu hakuna majungu hiyo ni vivid evidence inajieleza wazi , kusema watu wamejenga katikati ya barabara ni majungu ? Kusema watu hawana kibali cha ujenzi ni majungu ? Kusema watu hawana usajili wa kanisa ni majungu ? Kusema watu wanapiga muziki mkubwa sana wakati Kuna wagonjwa , wazee ,watoto ,wanafunzi , shule mbili kusumbua watu ni majungu ?
Halafu pale cheyo maneno yalikuwa mengi na pia kuna waliosema pia halikustahili kuwepo kwa sababu ya makazi ya watu sasa makanisa huwa yanatakiwa yawe wapi ? kwenye mbuga za wanyamaCheyo Mwanga Shop hili kanisa lilifukuzwa na kuondolewa kwa sababu ipi ? Kama sio huuhuu ujinga unaofanyika hapa .
Sisi tunataka haki itendeke watu hawana vibali kigugumizi cha nini ?Wafungwe
Utaratibu wa manispaa upo , maeneo husika yapo ni suala la kufuata sheria na utaratibu . Wewe unafikiri kwanini walifukuzwa Cheyo Mwanga Shop ?Halafu pale cheyo maneno yalikuwa mengi na pia kuna waliosema pia halikustahili kuwepo kwa sababu ya makazi ya watu sasa makanisa huwa yanatakiwa yawe wapi ? kwenye mbuga za wanyama
Heri hata hao ni kanisa. Kinachoendelea Rock City Mall Mwanza kinasikitisha maana kuna live band inayokesha takriban kila siku. Hakuna anayejali makelele yanayopigwa ama kubadilishwa matumizi ya maegesho ya magari katika mall hiyo kuwa eneo la kupigia dansi na madada poa kujivinjari!!! Yawezekana wapo wenye maslahi na huu "uvunjaji wa sheria za mazingira" Tunakoelekea makelele itakuwa ni kitu cha kawaida.Hakuna conflict of interest ndugu , uko mbali hauijui adha tunayopata sisi wagonjwa wa moyo wenye wagonjwa , wazee , watoto , wanafunzi na watu wengine, yaani tuumie kwa ajili ya wajinga wachache ?
Mara nyingi hiyo ni miradi ya watu binafsi. Hawana la maana na sababu ya kupiga mayowe mitaani. Siku hizi sitaki hata kuwasikia na mabakuli yao ya kuomba msaada wa ujenzi wa makanisa maana hawana sababu ya kutojiunga na wengine zaidi utafutaji na ubinafsi tu.Kufuatia ripoti za kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 huko kata ya Kitete , mtaa wa Kariakoo Tabora imebainika kuwa kinachoitwa kanisa ni genge la wahuni vijana watupu wasiozidi miaka ishirini na tano ndio wanaoendesha uhuni huo ,
1 Kinachodaia kanisa hawana usajili wa kanisa kama sheria zinavyotaka
2 . Hawana kibali cha ujenzi .
3 Hawana kibali kuendesha kanisa
4 .Hawana kibali cha afisa utamaduni kuruhusu wanachokifanya .
Kwa kuwa kinaichoitwa kanisa hakina vibali husika , na Kuna vitendo vya kihuni vinavyofanywa na genge hilo lialojiita kanisa , sisi wakazi wa mtaa wa Kariakoo tunawataka afisa mipango miji , afisa mtendaji kata , afisa mtendaji mtaa na mwenyekiti wa mtaa kusimamisha shughuli zozote za kinachoitwa kanisa hilo na sheria zifutwe Kama tulivyokaa kikao na nyinyi siku ya inumaa tarehe 5/3 2021 , ambapo mliahidi kuchukua hatua iwapo genge hilo la wahuni litaendelea na vurugu ikiwa I pamoja na kupiga muziki mkubwa sana huku kukiwa na shule mbili eneo hili , huku kukiwa na wagonjwa , wazee , watoto .
Afisa mipango miji kinachokufanya ushindwe kuchukua hatua ni nini ? Maana Hawa watu hawana usajili wa kanisa , hawana kibali cha ujenzi , hawana kibali cha kuendesha kanisa/ ibada , sasa hebu chukua hatua Kama ulivyoahidi .
Afisa mipango miji wewe mwenyewe umethibitisha madai ya wakazi wa mtaa kuwa genge hilo halina uhalali wa shughuli linazofanya kinyume na utaratibu .Hebu haki itendeke sisi hatutaki kujichukulia sheria mkononi . Mchungaji kusema amewaweka mfukoni kunaleta picha mbaya be.
View attachment 1726955View attachment 1726957
Huyu ndo mchungaji? Naangalia usoni ili nitumie kipaji changu cha kulinganisha sura na matendo.Soooma kuleee!View attachment 1727034
Kifupi ni kwamba kujiita kanisa Ni ngao ya kujifichia hili Ni genge la wahuni wajasilia dini ambao dini hawaijui , Biblia hawaijui , kuhubiri hawajui kazi kelele tu zisizo na maana .Heri hata hao ni kanisa. Kinachoendelea Rock City Mall Mwanza kinasikitisha maana kuna live band inayokesha takriban kila siku. Hakuna anayejali makelele yanayopigwa ama kubadilishwa matumizi ya maegesho ya magari katika mall hiyo kuwa eneo la kupigia dansi na madada poa kujivinjari!!! Yawezekana wapo wenye maslahi na huu "uvunjaji wa sheria za mazingira" Tunakoelekea makelele itakuwa ni kitu cha kawaida.
Mkuu ni kundi la wahuni wajasilia dini ambao ni watoto watoto tu hata akili hawana .Mara nyingi hiyo ni miradi ya watu binafsi. Hawana la maana na sababu ya kupiga mayowe mitaani. Siku hizi sitaki hata kuwasikia na mabakuli yao ya kuomba msaada wa ujenzi wa makanisa maana hawana sababu ya kutojiunga na wengine zaidi utafutaji na ubinafsi tu.
Komenti yako hii na uliyokomenti Jana imenishangaza Sana responsible member wa jf Kama wewe kukomenti illogical points ni ajabu . Sasa hapa Tabora unavgosema Kuna ushirikina uko wapi uje utuonyeshe ? Hao unawaona wachungaji uchwara asilimia 99% wanatumia nguvu za giza na ushahidi upo .Hilo kanisa liachwe ili litoe huduma za kiroho katika mji uliojaa ushirikina
Nimeishi Tabora na Sikonge nimerogwa sana na hao Waswahili wapinga KristoKomenti yako hii na uliyokomenti Jana imenishangaza Sana responsible member wa jf Kama wewe kukomenti illogical points ni ajabu . Sasa hapa Tabora unavgosema Kuna ushirikina uko wapi uje utuonyeshe ? Hao unawaona wachungaji uchwara asilimia 99% wanatumia nguvu za giza na ushahidi upo .