TUSHIRIKISHANE TABORA: Timu ya JamiiForums yapata ajali maeneo ya Mbaoni - Urambo

ooh poleni sana na asante sana kwa ushirikiano wa wote walioutoa huko Urambo, Tabora. Hongerah kwa Uungwana wanaTabora.
 
Oooh my God poleni sana. Juzi tu bi Asha alikuja kuniaga ofisini kwangu Nzega.
Thanks God you guys are alive.
I wish you a safe journey back to Dar es salaam for further medical check up
 
Poleni Sana Wakuu, Mungu ashukuriwe sana kwa kuepusha maafa makubwa.
 
Poleni sana! Mungu ashukuriwe kwa kuwaepusha na madhara makubwa. Mungu awalinde
 
Poleni sana vijana wa JF. Bwn awape nafuu muweze kupona haraka, kukabili majukumu!!
Tunashukuru kwa wote mliotoa msaada!!
Bwn awabariki!!
 
Poleni sana Asha Di na Eric, Bwana yuu nanyi!. Get well soon!.

Pasco
 
Poleni sana, Tunamshukuru Mungu kwa ulinzai wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…