TUSHIRIKISHANE TABORA: Timu ya JamiiForums yapata ajali maeneo ya Mbaoni - Urambo

TUSHIRIKISHANE TABORA: Timu ya JamiiForums yapata ajali maeneo ya Mbaoni - Urambo

Poleni sana,

Shetani kashindwa, ugua pole wa wahanga wa ajali hiyo. Wapone haraka waendelee kulisongesha gurudumu la JamiiForums.

BACK TANGANYIKA
 
Poleni sana, tunashukuru kama wamesalimika, tunawaombea kwa Mungu wapone haraka
 
Pole sana AshaDii na wenzako wote waliohusika katika ajali hiyo
 
Mwenyezi Mungu awape afya njema wapone. Poleni sana
 
Poleni sana na tuna waombea kupona na kurudi afya zenu haraka
 
Ashukuriwe Mungu kwa kuwaepusha na mauti. Kwa walioumia poleni, na nawatakieni mpone kwa upesi.
 
poleni sana .Lakini hiyo barabara mmh, kama hiyo sehem iko sayari ya mars
 
Poleni sana, Mungu awaponye haraka ili muendelee na majukumu yenu.
 
Back
Top Bottom