Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole zao. Chanzo cha ajali ni nn? Maana hizo Prado huwa zina majanaga kwenye hizo Link za mbele. Mungu awajalie ahueni kwa waliopata majeraha
TAARIFA
Tunasikitika kutangaza kutokea kwa ajali ya timu (2) ya wana Jamii Media, waliopo kwenye safari za mradi wa TUSHIRIKISHANE (JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane") iliyotokea hapo jana saa 5 asubuhi, maeneo ya Mbaoni - Urambo (Tabora). Timu hiyo ilikuwa na Meneja Uendeshaji na Mikakati wa Jamii Media, Bi Asha D. Abinallah na Afisa Miradi Bw. Ericus Kimasha.
Timu hiyo ilikuwa ikielekea Kigoma mjini ili kukutana na wenzao ambako walikuwa na ratiba Warsha, kwa ajili ya kuendeleza shughuli za Mradi wa TUSHIRIKISHANE mara baada ya kumaliza shughuli zake hizo jimboni Nzega.
Kwa sasa hali zao si mbaya sana na wapo njiani kurudi Dar es Salaam kwa matibabu zaidi.
JamiiForums tunatoa shukrani za dhati kwa wana Urambo kwa Ushirikiano, Matibabu, Ulinzi na Usalama uliyotolewa wakati na baada ya ajali hiyo.
View attachment 383076
View attachment 383075
View attachment 383077
JamiiForums
pole sanaTAARIFA
Tunasikitika kutangaza kutokea kwa ajali ya timu (2) ya wana Jamii Media, waliopo kwenye safari za mradi wa TUSHIRIKISHANE (JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane") iliyotokea hapo jana saa 5 asubuhi, maeneo ya Mbaoni - Urambo (Tabora). Timu hiyo ilikuwa na Meneja Uendeshaji na Mikakati wa Jamii Media, Bi Asha D. Abinallah na Afisa Miradi Bw. Ericus Kimasha.View attachment 383135Jamii Media inawashukuru Sana Bw. na Bi. Banyanga, wamiliki wa Magole Pre & Primary School kwa kuwasaidia wafanyakazi wetu waliopata ajali
Timu hiyo ilikuwa ikielekea Kigoma mjini ili kukutana na wenzao ambako walikuwa na ratiba Warsha, kwa ajili ya kuendeleza shughuli za Mradi wa TUSHIRIKISHANE mara baada ya kumaliza shughuli zake hizo jimboni Nzega.
Kwa sasa hali zao si mbaya sana na wapo njiani kurudi Dar es Salaam kwa matibabu zaidi.
JamiiForums tunatoa shukrani za dhati kwa wana Urambo kwa Ushirikiano, Matibabu, Ulinzi na Usalama uliyotolewa wakati na baada ya ajali hiyo.
View attachment 383076
View attachment 383075
View attachment 383077
View attachment 383136
Jamii Media inawashukuru Afande Jonas na Afande Abdallah wa Kikosi cha Usalama Barabarani Wilayani Urambo kwa msaaada na huduma ya haraka kwa wafanyakazi wetu.
JamiiForums
Siwezi kuelezea kiufundi sana vinaitwaje, lakini hizo gari zina hilo tatizo ni Ball Joint zinang'oka wakati gari linatembea. Na tatizo hilo ni kwa model hiyo. Matoleo mapya Wajapan walirekebisha dosari hiyo. Ila kuna jamaa zangu wengi zilitoka lakini hawakuwa kwenye speed.Nawapa poleni.sana, nilikuwa sijui kama PRADO zina tatizo kwenye link za mbele - tatizo ni nini nuts zinafunguka au link zinakatika kirahisi? ebu fafanua please maelezo yako yanaweza kutusaidia wengi.