TUSHIRIKISHANE TABORA: Timu ya JamiiForums yapata ajali maeneo ya Mbaoni - Urambo

TUSHIRIKISHANE TABORA: Timu ya JamiiForums yapata ajali maeneo ya Mbaoni - Urambo

Poleni kwa ajali hiyo na Mungu awafanyie wepesi majeruhi wapate nafuu.
 
Pole sana da Asha na Kimasha na wengine wote. Mungu awaponye haraka mrudi ktk hali zenu za awali.. Amina
 
Poleni sana, hizi barabara za Vumbi ni shiiiida na changamoto sana kwa madereva waliozoea Lami,
 
What a loss! Poleni sana team nzima ya JF
 
Back
Top Bottom